Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile
Learners Bookshop

@vitabu247

Wauzaji wa vitabu Tanzania.

ID: 1376290829522849792

linkhttps://wa.me/255752750830 calendar_today28-03-2021 21:51:56

32,32K Tweet

12,12K Takipçi

9,9K Takip Edilen

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Njia rahisi ya kuwashawishi watu wakusikilize ni kuwasimulia stori. Ni muhimu kama unafanya marketing au unataka kuwa kiongozi wa watu jifunze kozi inaitwa storytelling. Kujua storytelling ni kujua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi.

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Wakati unasimulia hadithi zingatia sehemu 3. 1. Mwanzo 2. Katikati 3. Mwisho Kwa kufuata mtiririko huu watu sio tu wanaelewa haraka bali wanahisi wao ni sehemu ya hadithi hiyo.

Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

Good morning waungwana Dinnerset inayobamba ndo hii sasa📌 Tsh 75,000 Vikombe 4 Bakuli 4 Sahani ndogo 4 Sahani kubwa 4 0755693113 📍 Ubungo External, mikoa yote tunatuma bila kuvunjika MIRIAM💜

Good morning waungwana

Dinnerset inayobamba ndo hii sasa📌
Tsh 75,000

Vikombe 4
Bakuli 4
Sahani ndogo 4
Sahani kubwa 4

0755693113

📍 Ubungo External, mikoa yote tunatuma bila kuvunjika

<a href="/MiriamMkanaka/">MIRIAM💜</a>
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Watu waliosoma hiki kitabu kuna kitu wanajua ila huwa hawakisemi wanabaki kusema soma hiki. Hata wewe ukikisoma huwezi kukisema inabaki kuwa siri yako

Watu waliosoma hiki kitabu kuna kitu wanajua ila huwa hawakisemi wanabaki kusema soma hiki.

Hata wewe ukikisoma huwezi kukisema inabaki kuwa siri yako
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Ego hukufanya uone mabadiliko kama tishio na resistance kuhusu mabadiliko hufanya ukuaji hafifu au kukosa maendeleo. Ego inapenda udumu kusema "mimi ndivyo nilivyo" "Sisi ndivyo tulivyo" Suluhu ni kuona madiliko kama mwalimu wa uraia( civics) Ego is the enemy Tzs 17,000

Ego hukufanya uone mabadiliko kama tishio na resistance kuhusu mabadiliko hufanya ukuaji hafifu au kukosa maendeleo. 

Ego inapenda udumu kusema "mimi ndivyo nilivyo" "Sisi ndivyo tulivyo"  

Suluhu ni kuona madiliko kama mwalimu wa uraia( civics)

Ego is the enemy Tzs 17,000
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Jifunze haya 1. Self awareness Jiulize: “Je, ninapinga hili kwa sababu ni baya, au kwa sababu linanitisha?” 2. Acceptance Kila kitu kinachokua hubadilika ukikataa mabadiliko, unakataa ukuaji. 3. Intellectually humility Kubali kwamba hujui kila kitu.

Self Upgrade (@selfupgrade222) 's Twitter Profile Photo

HARD TRUTHS ABOUT MONEY: 1. No one will teach you about money, learn it yourself. 2. Saving alone won't make you rich, you must invest. 3. Your income depends on your skills, not your degree. 4. Financial freedom requires sacrifice. 5. The rich stay rich by controlling expenses,

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Your mood, frustration, or excitement don’t move the market, but your skills, consistency, creativity, and results do. In short: The market doesn’t pay for how you feel. It pays for the problems you solve. Pyschology of selling and money