Vision (@visionbloom66) 's Twitter Profile
Vision

@visionbloom66

Forex Trader| Demand & Supply| Structures| Liquidity Traps| Market Expert📊📊

ID: 1926739285920681984

calendar_today25-05-2025 20:37:09

176 Tweet

139 Followers

117 Following

Freemaker🇹🇿 (@freemaker_tz) 's Twitter Profile Photo

Listen Broh, Trading will becomes easy once ukiacha kukariri entry patterns na kuelewa logic behind them! Understand... It's not onl about patterns/models, its involves whole system(Asset selection,analysis,entry+exit points,RM,Trade Mngt etc) Be smart, Act accordingly!

Vision (@visionbloom66) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu #XAUUSD nimeshamshughulikia nyakati za mwishoni😁😁 Haka ka Setup kanajirudia mara kwa mara kwa GOLD. #Xauusd ana raha yake😁 KIKUBWA NI KUKAA NA CHATI MUDA MREFU🤞🤞

Mwanangu #XAUUSD nimeshamshughulikia nyakati za mwishoni😁😁

Haka ka Setup kanajirudia mara kwa mara kwa GOLD. #Xauusd ana raha yake😁

KIKUBWA NI KUKAA NA CHATI MUDA MREFU🤞🤞
Vision (@visionbloom66) 's Twitter Profile Photo

KWENYE FOREX 1. Amini katika mchakato. 2. Tafuta maarifa sahihi. 3. Tengeneza trading plan yako. 4. Trade kulingana na trading plan yako. 5. Usichukue trade ambayo haijakidhi Vigezo ulivyoainisha kwenye Trading plan yako KUNA MUDA UNAHITAJI SETUP MOJA KUBADILI/KUENDESHA MAISHA

Vision (@visionbloom66) 's Twitter Profile Photo

#XAUUSD 📊 Hakuna kitu inatia raha kama ukijua kutrade🥺 Haijalishi utafunga Profit ya $ ngapi, cha msingi ni Profit tu. Ikitokea unajua Kutrade basi hakutakuwa na namna nyengine zaidi itakayokufanya uwe tena KIBUA. MUNGU AENDELEE KUBARIKI JUHUDI ZETU INSHALLAH🙏🙏

#XAUUSD  📊

Hakuna kitu inatia raha kama ukijua kutrade🥺

Haijalishi utafunga Profit ya $ ngapi, cha msingi ni Profit tu. Ikitokea unajua Kutrade basi hakutakuwa na namna nyengine zaidi itakayokufanya uwe tena KIBUA. 

MUNGU AENDELEE KUBARIKI JUHUDI ZETU INSHALLAH🙏🙏
Vision (@visionbloom66) 's Twitter Profile Photo

Tunatoka kwenye Familia Duni sana. Njia pekee ya kuzikombia Familia zetu kwenye Maisha Duni ni KUJITUMA Wazazi wamefanya Kwa sehemu yao, nawewe fanya Kwa sehemu yako mara mbili. Once umechagua kuwa Trader ipo siku Kila kitu kitabadilika na kubaki HISTORIA. GOD IS GREAT! BLUEE 💙