
Tanzania Youth Alliance for Food Systems
@vijana4food
We envision a Tanzania where young people fully and equitably access on Food Systems.
ID: 1766927996143677440
10-03-2024 20:44:24
582 Tweet
85 Followers
155 Following







Tanzania Youth Alliance for Food Systems walipata nafasi ya kuhudhuria Zoezi la Uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Bajeti ya Wizara ya Kiilimo imeongezeka hadi Shilingi Trilioni 1.248 mwaka 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia 324.49 #Vijana4Food #BajetiYaWakulima






