██████𝟏𝟗𝟗𝟕(@victorvictus97) 's Twitter Profile Photo

Na lile joto, upepo, vumbi, maji kukiwa na mvua, mawe na michanga midogo, harufu ya mafuta, moshi, sauti kali ya gari na msuguano wa vyuma na breki......Mwamba kajitoa kafara, liwalo na liwe, Nyumbani Ni Nyumbani hata kama kichakani.

account_circle
TEKU🥇(@johnmllacha) 's Twitter Profile Photo

██████𝟏𝟗𝟗𝟕 Aina Julius Elias (G) Musingi Kenny mpo sahihi lakini wote hatuwezi kupitia njia moja. Kwa mfano watu wote tudoptuanze kuuza unga kama huyu dogo unadhani itakuwaje? Dogo aache kutukana wateja na akili zako za kufikiri hazifanani na za ntu mwingine, kunawasomi wengi tu wametoboa kwa kutumia elim na wapo kimya

account_circle