β™ˆπ—Άπ—°π˜π—ΌrΜ‘ΜˆπŸ‡ (@victor_ck2) 's Twitter Profile
β™ˆπ—Άπ—°π˜π—ΌrΜ‘ΜˆπŸ‡

@victor_ck2

Imana ihora ari nziza.πŸ™

ID: 3136609672

linkhttp://www.victbarr.com calendar_today05-04-2015 11:50:26

5,5K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

”Mwamko wa Elimu ni mkubwa na tunaona wazazi siku hizi wanawapeleka watoto wao shule. Hapo mwanzoni watu waliamini kumpeleka mtoto shule ni kupoteza muda na wazazi wengi wanaamini nikimpeleka mtoto shule atakuja kunilea nikiwa mzee. Unakuta yule mtoto aliepelekwa shule anamaliza

”Mwamko wa Elimu ni mkubwa na tunaona wazazi siku hizi wanawapeleka watoto wao shule. Hapo mwanzoni watu waliamini kumpeleka mtoto shule ni kupoteza muda na wazazi wengi wanaamini nikimpeleka mtoto shule atakuja kunilea nikiwa mzee. Unakuta yule mtoto aliepelekwa shule anamaliza
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Habari zinazotreand kwa sasa Uganda ni Kurudi kwa Mwanamziki Jose Chameleone ambaye alikuwa USA kwa ajili ya Matibabu ya Kongosho. Alifafanyiwa upasuaji wa Kongosho huko Marekani, ambapo amekaa na kutibiwa huko kwa muda wa miezi mitatu tangu December 23. Video kwa Comments πŸ‘‡

Habari zinazotreand kwa sasa Uganda ni Kurudi kwa Mwanamziki Jose Chameleone ambaye alikuwa USA kwa ajili ya Matibabu ya Kongosho.

Alifafanyiwa upasuaji wa Kongosho huko Marekani, ambapo amekaa na kutibiwa huko kwa muda wa miezi mitatu tangu December 23.

Video kwa Comments πŸ‘‡
MEDIA KUUβœ¨πŸŽ‰ (@mediakuu07) 's Twitter Profile Photo

Leonardo kipindi hichi cha uchaguzi amekuja na style mpya ya code kama za masoud Bila D mbili Huelewi πŸ˜… Anakuuliza unataka haki? Tazama videos kwenye comment πŸ”“ ‡️

Leonardo kipindi hichi cha uchaguzi amekuja na style mpya ya code kama za masoud

Bila D mbili Huelewi πŸ˜…

Anakuuliza unataka haki?

Tazama videos kwenye comment πŸ”“ ‡️
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Maisha yanabadilika sanaβ€”haraka kuliko tunavyofikiri. Kuna wakati Aishi Manula alikuwa mhimili wa safu ya ulinzi ya Simba SC. Alikuwa hot cake, akipendwa na kuheshimiwa sana. Thread:πŸ‘‡

Maisha yanabadilika sanaβ€”haraka kuliko tunavyofikiri.

Kuna wakati Aishi Manula alikuwa mhimili wa safu ya ulinzi ya Simba SC. Alikuwa hot cake, akipendwa na kuheshimiwa sana.

Thread:πŸ‘‡
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Camerlengo katika kutendaji wake, unaweza kumfananisha na mnikulu wa Ikulu Sasa nini hutokea Papa akifariki 1. Baada ya madaktari kueleza juu ya kifo cha Papa, Camerlengo huitwa kuthibitisha hilo Camerlengo atamuita Papa mara tatu kwa jina alilochagua (Baptismal name)

Camerlengo katika kutendaji wake, unaweza kumfananisha na mnikulu wa Ikulu

Sasa nini hutokea Papa akifariki

1. Baada ya madaktari kueleza juu ya kifo cha Papa, Camerlengo huitwa kuthibitisha hilo

Camerlengo atamuita Papa mara tatu kwa jina alilochagua (Baptismal name)
Thadei Mhabuka (@mhabukat) 's Twitter Profile Photo

Dahaaa mambo haya yanaumiza sana ikiwa mtu kama Tundu Lisu anafanyiwa hivo swali langu je kwa watu wa kawaida itakuwaje na hawa wanao fanya hivo kwa Mh Lisu wamesahau kuwa kesho Lisu anaweza kuwa bosi wao watajiskiaje ikitokea hivo tuwe na kiasi katika kutafta cheo kupanda.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

TRA wametangaza kwamba watampa reward ya nadhani milioni 500 β€œinnovator” yeyote atakayewapa mbinu ya kupanua tax base. Nawashauri wasitumie gharama na badala yake waangalie hizi video hapa⬇️! 1. Ondoa matumizi ya kipumbavu. 2. Wekeza kwenye rasilimali watu. Umemaliza!

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ukitaka Mwanamke wako aingie kwenye mifumo yako kwa wepesi na halaka, pamoja na kuwa supportive Formular kuu ni moja. Hakikisha malengo yako maishani ni makubwa kuliko yeye, akiwa demu au mke wako then focus kubwa ikawa kutimiza malengo yako kuliko kumlilia yeye trust