
Rev.Victor Amudavi,Hsc
@vicamudavi
PhD,HSC.
Manchester United Fan,Ligi ya Washindi
ID: 970165236098568193
http://www.vicamudavi.co.ke 04-03-2018 05:13:11
13,13K Tweet
1,1K Followers
440 Following

Mungu hutuza matendo mema kwa hivyo tenda mema kazini. Mama Taifa Evah Mwalili #NuruNaEvahMwalili #HapaNdipo


The Big Boyz of Radio wwshaingia mjengoni kukuletea full entertainment na good conversations, 🔥✌️. Unatusikiliza ukiwa wapi? ALEX MWAKIDEU na Captain Emmanuel Mwashumbe #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo






Breakfast 47 #Tbt edition 🔥✌️ with the Big Boyz of Radio 🥳 kuanzia sasa hadi saa nne asubuhi. Unapata uhondo ukiwa wapi? ALEX MWAKIDEU na Captain Emmanuel Mwashumbe #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo




Karibisho la Ibada... Leo unashiriki service wapi? Tufunge mwezi kwa shukrani, Zaburi 124, kama Mungu asingalikua upande wako!!! Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo



Breakfast 47 is on🔥🔥 with the Big Boyz of Radio ALEX MWAKIDEU and Captain Emmanuel Mwashumbe . Unasikiliza ukiwa wapi? #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo



Karibisho la Ibada... Unahudhuria ibada wapi, mchungaji hapo anaitwaje? Tutambue wachungaji wetu! Halafu unaomba Mungu akutendee nini kabla mwaka uishe? Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo


Gumzo Na Mchungaji Karibu kwa mafunzo uncompromised na mchungaji Bonface Makanda ambapo anafunza kuhusu umuhimu wa sauti ya Mungu. Pata nuru! Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo





Good morning, The Big Boyz of Radio wanaichapia show liive tukiwa hapa @littlerideke offices🔥✌na SUPER DJ IMMO ™ anatupa entertainment full vibe.🔥 Kumbuka! Little kwa ushirikiano na Radio47 inawaletea punguzo spesheli ya ksh 500 ukitumia promocode: Radio47 kwa safari yako (Offer
