
zuhura yunus
@venusnyota
Deputy Permanent Secretary, Prime Ministers Office, Ministry of Labour, Youth, Employment & Persons with Disability. Ex-DPC, ex-BBC
@WMKVAW
ID: 126013535
http://www.kazi.go.tz 24-03-2010 15:27:04
29,29K Tweet
245,245K Followers
480 Following

At times, we condemn good people because we disagree with them over a few issues. We refuse to see the good they’re doing. Disagreements do not automatically make a person extreme, bad or evil. Learn to distinguish between the one who respectfully disagrees & the one who is evil!




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU Mhe.Ridhiwani Kikwete akikabidhiwa Tuzo ya mwaka ya Balozi wa OSHA na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU Mary Maganga katika hafla ya kukabidhi tuzo za Usalama na Afya Mahali Pa Kazi kwa Mwaka 2025, Aprili 29, 2025 Mkoani Singida.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU Mary Maganga akiwakabidhi wadau wa Sekta binafsi na umma Tuzo za kuzingatia masuala ya Usalama na Afya mahali pa Kazi katika hafla ya kukabidhi tuzo za Usalama na Afya Mahali Pa Kazi kwa Mwaka 2025, Aprili 29, 2025 Mkoani Singida.




zuhura yunus Pole sana dada Zuhura

zuhura yunus Pole nyingi Da Zuh! Mwenyezi Mungu amjaalie pumziko la milele.🕊️

zuhura yunus Apumzike kwa Amani Mzee wa Macharanga

zuhura yunus Ramadhan Shamte Dah na Ile sauti yake ya heshima na ukimsikiliza anaongea unamuelewa

zuhura yunus Zuhura najua una maumivu makubwa. Msiba wetu sote huu, lakini pole sana.

zuhura yunus Poleni sana, dedetu!




The book, LIVING WITH CANCER: DIARIES OF A MULTIPLE MYELOMA PATIENT by Mark J. Mwandosya Is now available in #Nairobi, #Kenya: SomaNamiBooks The Greenhouse Mall, Suite 12, Ngong Rd; and, Coricom House,33 Ngara Rd,Ngara (Opp Chief's Camp) +254 705 548 052 #MultipleMyeloma #Cancer

