v๐ŸŒธ (@vee__alex) 's Twitter Profile
v๐ŸŒธ

@vee__alex

JESUS IS LORD.
A wife||Mother|| A farmer with a passion.
I'll bring freshness to your home if you wantโ˜บ๏ธ @My Garden |Home Garden.

ID: 2703029931

calendar_today12-07-2014 12:16:10

43,43K Tweet

11,11K Followers

5,5K Following

Maggy Muggy (@muggymaggy) 's Twitter Profile Photo

Anaaminika, hatiliwi mashaka, mpenda Haki, kiboko ya madhulumati Ni Muongoza njia... Anayo maono ya Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Moya #NoReformsNoElection #FreeTunduLisu

Anaaminika, hatiliwi mashaka, mpenda Haki, kiboko ya madhulumati

Ni Muongoza njia... Anayo maono ya Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Moya

#NoReformsNoElection 
#FreeTunduLisu
MADOPE๐ŸŒพ (@ugeniaconso) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mchungu. mume wa mtu anafanya maendeleo na mke wake, yeye kuja kwako sio kwamba we ni mzuri kuliko mkewe. Atakwambia anamchukia mke wake hampi unyumba, lakin wiki ijayo unawakuta wote clinic, unawakuta wote sokoni tena wakiwa na furaha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Obadiah (@nerbartobadiah) 's Twitter Profile Photo

Leo Jumamosi, Aug 09, 2025, Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Mhe. Tundu Antiphas Lissu ametimiza miezi Minne tangu akamatwe na kuwekwa Gerezani. Itakumbukwa kuwa Mhe. Lissu alikamatwa Jumatano, April 09 Wilayani Mbinga mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa Operation #NoReformsNoElection

Leo Jumamosi, Aug 09, 2025, Mwenyekiti wa <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> Mhe. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> ametimiza miezi Minne tangu akamatwe na kuwekwa Gerezani. Itakumbukwa kuwa Mhe. Lissu alikamatwa Jumatano, April 09 Wilayani Mbinga mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa Operation #NoReformsNoElection
v๐ŸŒธ (@vee__alex) 's Twitter Profile Photo

Dear Catholics, Novena ya kuombea Haki na Amani itaanza tarehe 15/8.. Tarehe 23 itakua siku ya 9 ya novena na ni siku ya mfungo wa saa 24, tutahitimisha kwa sala na maombi kwa saa zote 24. Wakristo wote wenye mapenzi mema tuungane kuombea Taifa.

v๐ŸŒธ (@vee__alex) 's Twitter Profile Photo

2 Mambo ya Nyakati 7:14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wanaompenda mtu aliyefungwa naomba kuanzia Jtatu mfunge masaa 12[usile mchana] na kuomba mpaka Ijumaaa hakikisheni mnaomba angalau saa moja kila siku, 1. Muombeeni ulinzi wa Mungu, 2. Mashauri/mipango ya adui zake yabatilishwe. Niishie hapo. #PropheticCode

v๐ŸŒธ (@vee__alex) 's Twitter Profile Photo

Tuombe. Ee Mungu kama ulivyo wazunguka wana wa Israel na lile wingu na moto mchana na usiku, tunakuomba ulinde mh Tundu Lisu, mpe nguvu na afya njema. In Jesus name we pray. Amen.