Vanny Vivad (@vannyvivad) 's Twitter Profile
Vanny Vivad

@vannyvivad

ID: 1312875197251321857

calendar_today04-10-2020 22:01:27

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATE Polisi wamemaliza ukaguzi nyumbani kwa Boniface Jacob muda huu. Wamekagua kila mahali kwa zaidi ya masaa 3 lakini hawajanikiwa kupata kitu chochoote so wameondoka na Bon wanasema wanampeleka kituo cha Polisi Osterbay au Central.

#UPDATE

Polisi wamemaliza ukaguzi nyumbani kwa <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> muda huu.

Wamekagua kila mahali kwa zaidi ya masaa 3 lakini hawajanikiwa kupata kitu chochoote so wameondoka na Bon wanasema wanampeleka  kituo cha Polisi Osterbay au Central.
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi liwajibike kutenda kwa mujibu wa sheria na Katiba.Ni hatari tunapokuwa na jeshi linalotumia nguvu kubwa kuwakabili watu wema huku wahalifu wakiachwa salama.Tuna nchi moja tusi iharibu

Jeshi la Polisi liwajibike kutenda kwa mujibu wa sheria na Katiba.Ni hatari tunapokuwa na jeshi linalotumia nguvu kubwa kuwakabili watu wema huku wahalifu wakiachwa salama.Tuna nchi moja tusi iharibu
BAD KID CHILL CITY🌟 (@hastaruego) 's Twitter Profile Photo

Huenda ukaona haiwezekani kukidhi matarajio ya kila mtu, lakini inafariji kujua kwamba milele utashikilia nafasi ya pekee katika moyo wa yule ambaye kwa dhati anatambua na kuthamini thamani yako. GOOD MORNING.

π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

morning comrades, wanaume mnatakiwa mlijue hili, you are always on your own. kama unataka kuamini subiri upoteze kazi au business uliyonayo. dem wako hatakuwa anakuskiliza & some of family members will lose the respect over u. wake up, work hard; kila mtu ni snich comrade.

it's.26 (@arafat__9) 's Twitter Profile Photo

UJUMBE WA LEO Zama zinapita na maisha yanapita pia, na sisi tutakwenda na tutapita. Aliyehai leo akae akijua kuwa kesho atakufa, na yule aliye katika Mgongo wa Ardhi leo ajue kuwa kesho atakuwa ndani ya Tumbo la Ardhi, huu ndio utaratibu wa Allah katika maisha, na yaliyobakia