UWT TAIFA (@uwttaifa) 's Twitter Profile
UWT TAIFA

@uwttaifa

Umoja wa Wanawake wa Tanzania

@ccmtanzania
👸💪

#MwanamkeAnastahili

ID: 1062269147881660421

calendar_today13-11-2018 09:01:15

30 Tweet

32 Takipçi

14 Takip Edilen

UWT TAIFA (@uwttaifa) 's Twitter Profile Photo

#UWTUpdates Jumatano ya Leo tarehe 28/11/2018, Mh. Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mh. bonnahkaluwa amewapokea na kuwakabidhi kadi wanachama zaidi ya 300 wa U.W.T kata ya Kimanga. Nyumbani… instagram.com/p/BquqU2JHtiM/…

UWT TAIFA (@uwttaifa) 's Twitter Profile Photo

#UWTUpdates Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mh. @BonnahKaluwa amewapokea na kuwakabidhi kadi wanachama zaidi ya 300 wa U.W.T kata ya Kimanga. Nyumbani kumenoga! Yajayo yanafurahisha!. #UWTTaifaKubwa

#UWTUpdates Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mh. @BonnahKaluwa amewapokea na kuwakabidhi kadi wanachama zaidi ya 300 wa U.W.T kata ya Kimanga.
Nyumbani kumenoga! Yajayo yanafurahisha!. 
#UWTTaifaKubwa
UWT TAIFA (@uwttaifa) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Kitaifa wa UWT wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa GAUDENTIA KABAKA (MCC), Katibu Mkuu wa UWT Taifa QUEEN MLOZI na Viongozi wengine wa UWT wakiwasili kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya tayari kwa ajili ya kuanza kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa