US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile
US Embassy Tanzania

@usembassytz

The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. Terms of Use: state.gov. #UbaloziniLeo

ID: 128534762

linkhttp://tz.usembassy.gov calendar_today01-04-2010 12:02:09

9,9K Tweet

308,308K Takipçi

364 Takip Edilen

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

The U.S. delegation proudly ended yesterday meeting with the innovative experts at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology. Did you know that to date, NM-AIST has hosted six American scholars and sent seven Tanzanian scholars to the United States?

Kaimu Balozi Lentz ametembelea duka la kuuza matrekta na vifaa vingine vya kilimo vya kampuni ya John Deere linaloendeshwa na TATA Holdings jijini Arusha. Ubunifu bora kabisa wa Kimarekani katika kutengeneza mitambo ya kilimo unachangia vilivyo katika kuwasaidia wakulima wa

Chargé Lentz visited the John Deere dealership operated by TATA Holdings in Arusha. American innovation in agricultural mechanization at its best partnering to support Tanzania’s farmers to increase productivity and growth. #JohnDeere #usembassytz

Chargé Lentz visited the John Deere dealership operated by TATA Holdings in Arusha. American innovation in agricultural mechanization at its best partnering to support Tanzania’s farmers to increase productivity and growth.

#JohnDeere #usembassytz
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Jana, Kaimu Balozi Lentz alitembelea kampuni ya Red Earth Ltd, inayoendesha kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vitambaa, uwekaji rangi, na utengenezaji wa mavazi kilichopo Arusha. Red Earth huzalisha vitambaa na mavazi yenye ubora wa hali ya juu yanayouzwa Marekani, Kanada,

Yesterday Chargé Lentz visited Red Earth Ltd, a state-of-the-art knitting, dyeing, and garment manufacturing plant in Arusha. Red Earth’s production of high-quality fabrics and garments are sold across the U.S., Canada, Europe, and Africa - showcasing how U.S.-Tanzania

Today, the CDA had the opportunity to meet various alumni including Academy for women entrepreneurs, Mandela Washington Fellowship, YALI RLC and Fulbright Foreign Language Teaching Assistantship residing in Arusha at Kitamu House owned by our alumnus Leah Assenga. It was exciting

Leo, Kaimu Balozi amepata fursa ya kukutana na wahitimu wa programu mbalimbali zinazofadhiliwa na ubalozi wanaoishi Arusha, wakiwemo wahitimu wa Academy for Women Entrepreneurs, Mandela Washington Fellowship, YALI RLC, na Fulbright Foreign Language Teaching Assistantship, katika

Kaimu Balozi Lentz amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Veronica Nduva, kujadili jinsi ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Marekani na Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na kuhakikisha amani endelevu ndani ya jumuiya hiyo. #usembassytz #usintz

Kaimu Balozi Lentz amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Veronica Nduva, kujadili jinsi ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Marekani na Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na kuhakikisha amani endelevu ndani ya jumuiya hiyo.

#usembassytz #usintz
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

CdA Lentz met with East African Community Secretary General, H.E. Veronica Nduva to discuss strengthening economic relations between the United States and East African Community, and securing sustainable peace within the community. #usembassytz #usintz

CdA Lentz met with East African Community Secretary General, H.E. Veronica Nduva to discuss strengthening economic relations between the United States and East African Community, and securing sustainable peace within the community.

#usembassytz #usintz
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Chargé Lentz shared highlights of his Arusha visit with the press today. “Today and always, we stand with journalists and reiterate U.S. support for your work, your independence, and your safety.  During any election season, free expression and a free media are more important

Chargé Lentz shared highlights of his Arusha visit with the press today. 

“Today and always, we stand with journalists and reiterate U.S. support for your work, your independence, and your safety. 

During any election season, free expression and a free media are more important
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Balozi Lentz amekutana na waandishi wa habari na kuwajulisha mambo muhimu yaliyojiri katika ziara yake mkoani Arusha. “Leo na daima, tupo pamoja na waandishi wa habari na tunarejelea msimamo wa Marekani wa kuunga mkono kazi yao, uhuru wao, na usalama wao. Wakati wa msimu

Kaimu Balozi Lentz amekutana na waandishi wa habari na kuwajulisha mambo muhimu yaliyojiri katika ziara yake mkoani Arusha. 

“Leo na daima, tupo pamoja na waandishi wa habari na tunarejelea msimamo wa Marekani wa kuunga mkono kazi yao, uhuru wao, na usalama wao.

Wakati wa msimu
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

U.S. Embassy Chargé d’Affaires Lentz visited the Namanga One Stop Border Post in Arusha to observe CDC partnerships and enhanced health emergency detection, response, and cross-border coordination. He commended the strong Kenya–Tanzania partnership in advancing . #trade

U.S. Embassy Chargé d’Affaires Lentz visited the Namanga One Stop Border Post in Arusha to observe CDC partnerships and enhanced health emergency detection, response, and cross-border coordination. He commended the strong Kenya–Tanzania partnership in advancing .

#trade
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani Lentz ametembelea Kituo cha Huduma Jumuishi katika Mpaka wa Namanga (One Stop Border Post) mkoani Arusha ili kushuhudia ushirikiano wa CDC na uimarishaji wa mifumo ya kugundua dharura za kiafya, kukabiliana nazo, na uratibu wa mpakani.

Chargé Lentz enjoyed an espresso in Courage Café in Moshi, where each cup of coffee makes a difference. The U.S. is proud to partner with Courage Worldwide to support victims and work to end human trafficking. Courage Worldwide

Chargé Lentz enjoyed an espresso in Courage Café in Moshi, where each cup of coffee makes a difference. The U.S. is proud to partner with Courage Worldwide to support victims and work to end human trafficking. <a href="/CourageWorld/">Courage Worldwide</a>
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Balozi Lentz alifurahia kahawa ya espresso katika Courage Café mjini Moshi, ambapo kila kikombe cha kahawa huleta mabadiliko chanya. Marekani inajivunia kushirikiana na Courage Worldwide kusaidia waathirika kusukuma mbele kazi ya kukomesha biashara haramu ya kusafirisha