URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile
URT Updates

@urtupdates

Updates from the United Republic of Tanzania #URTUpdates

ID: 1698962981466275840

calendar_today05-09-2023 07:35:22

6,6K Tweet

678 Takipçi

751 Takip Edilen

URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone, mazungumzo yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla. Denmark MFA 🇩🇰

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam Mhe. Ho Duc Phoc mazungumzo yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 01 Julai 2025.

ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa Majaliwa Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa na Wilaya ya

ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa Majaliwa Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15.

Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa na Wilaya ya
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Kwa miaka 21 mfululizo, yetu Cathy na shirika lake Friends Together wamekuwa wakija Tanzania kupitia Zara Tanzania Adventures Zara Tanzania Adventures kwa lengo la kusaidia wanawake wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) — akiwa mmojawapo, akiishi na VVU kwa zaidi ya miaka 40. 💛 Kupitia kazi

Kwa miaka 21 mfululizo, yetu Cathy na shirika lake Friends Together wamekuwa wakija Tanzania kupitia Zara Tanzania Adventures Zara Tanzania Adventures kwa lengo la kusaidia wanawake wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) — akiwa mmojawapo, akiishi na VVU kwa zaidi ya miaka 40. 💛

Kupitia kazi
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Kwa miaka 21 mfululizo, Dada Cathy na shirika lake Friends Together wamekuwa wakija Tanzania kupitia Zara Tanzania Adventures Zara Tanzania Adventures kwa lengo la kusaidia wanawake wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) — akiwa mmojawapo, akiishi na VVU kwa zaidi ya miaka 40. 💛 Kupitia kazi

Kwa miaka 21 mfululizo, Dada Cathy na shirika lake Friends Together wamekuwa wakija Tanzania kupitia Zara Tanzania Adventures Zara Tanzania Adventures kwa lengo la kusaidia wanawake wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) — akiwa mmojawapo, akiishi na VVU kwa zaidi ya miaka 40. 💛

Kupitia kazi
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

The Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (Mb), has met and held talks with the Ambassador of Morocco to Tanzania, Hon. Zakaria El Guomiri, The meeting was held today, July 02, 2025, at the Ministry's sub-office in Dar es

The Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (Mb), has met and held talks with the Ambassador of Morocco to Tanzania, Hon. Zakaria El Guomiri,

The meeting was held today, July 02, 2025, at the Ministry's sub-office in Dar es
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Ayoub Alexander mtumishi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la visitngorongoro (NCAA) ni mmoja wa washiriki wa Msafara wa Twende Butiama ulioanza leo tarehe 3 hadi 13 Julai, 2025. Lengo la Msafara huo wa kusafiri kutumia Baiskeli ni kumuenzi kwa Vitendo Baba wa Taifa Mwalimu

Ayoub Alexander mtumishi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la visitngorongoro (NCAA) ni mmoja wa washiriki wa Msafara wa Twende Butiama ulioanza leo tarehe 3 hadi 13 Julai, 2025.

Lengo la Msafara huo wa kusafiri kutumia Baiskeli  ni kumuenzi kwa Vitendo Baba wa Taifa Mwalimu
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA-MAJALIWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa

SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

On 3rd July 2025, Hon. mahmoud Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation engaged in high-level discussions with the African Group of Ambassadors and High Commissioners accreditated to Tanzania (Diplomatic Group - ADG). The discussions focused on further

DKT. KIJAJI AZINDUA CHANJO YA MIFUGO NGORONGORO. Na Mwandishi Wetu, NCAA. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. DR. ASHATU KIJAJI (Mb) amezindua zoezi la Chanjo ya Mifugo katika Kijiji cha Mokilal Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kitaifa wa

DKT.  KIJAJI AZINDUA CHANJO YA MIFUGO NGORONGORO.

Na Mwandishi Wetu, NCAA.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. DR. ASHATU KIJAJI (Mb) amezindua zoezi la Chanjo ya Mifugo katika Kijiji cha Mokilal Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kitaifa wa
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA WCF Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katik maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA WCF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katik maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa huduma za fidia kwa wafanyakazi si suala la hiari bali ni haki ya msingi ya mfanyakazi, inayopaswa kulindwa, kuendelezwa na kusimamiwa kwa weledi na uwajibikaji wa hali ya juu. Amesema kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa huduma za fidia kwa wafanyakazi si suala la hiari bali ni haki ya msingi ya mfanyakazi, inayopaswa kulindwa, kuendelezwa na kusimamiwa kwa weledi na uwajibikaji wa hali ya juu.

Amesema kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya

URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

WAZABUNI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MAONESHO YA SABASABA KUPATA TAARIFA Wazabuni wanaotaka kufanya kazi na Wizara, Taasisi na Mashirika ya Umma  wametakiwa kufahamu Sera, Sheria, taratibu na miongozo mbalimbali ili kuweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi. Hayo yamesemwa na Kamishna

WAZABUNI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MAONESHO YA SABASABA KUPATA TAARIFA

Wazabuni wanaotaka kufanya kazi na Wizara, Taasisi na Mashirika ya Umma  wametakiwa kufahamu Sera, Sheria, taratibu na miongozo mbalimbali ili kuweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.
Hayo yamesemwa na Kamishna
URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI WATAKIWA KUPATA ELIMU YA SERA ZA KODI KWA MAENDELEO Wananchi wametakiwa kuwa na uelewa kuhusu Sera za Kodi  zinazoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la kumfanya mwananchi kulipa kodi kwa hiari ili kuisaidia Serikali kutoa huduma bora na endelevu katika sekta

WANANCHI WATAKIWA KUPATA ELIMU YA SERA ZA KODI KWA MAENDELEO

Wananchi wametakiwa kuwa na uelewa kuhusu Sera za Kodi  zinazoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la kumfanya mwananchi kulipa kodi kwa hiari ili kuisaidia Serikali kutoa huduma bora na endelevu katika sekta