Upendo Godfrey
@upendogod
GOD First|
Founder&CEO @nyumbanispices,
Procurement&Finance|Farmer|ARISE Alumn|AWE Alumn,
SDGs 2,8,13&17.
Gracias DIOS por todo en mi Vida😍🙏.
ID: 1659803532944613376
20-05-2023 06:10:27
1,1K Tweet
290 Followers
347 Following
Habari.... Korosho zetu Sasa zinapatikana; NyumbaniVeggie&Spice Tz tawi la Sinza lion DSM, kilakala Morogoro na Kongowe Kibaha Pwani. Karibuni tuwahudumie!!!
Salaam kutoka wilayani kwa Nikkwapili ,tupo hapa kushiriki maadhimisho ya siku ya mwanamke...Karibuni kibaha. Pia team yetu ipo Morogoro vijijini kwa mkoa wa Morogoro. Mwaka huu tumeshiriki mikoa 3.Morogoro,Daresalaam na Pwani 🙏.
"A woman with a voice is,by definition,a strong woman." TGIF 🙏 📸 Mh.Waziri wa Jinsia,wanawake na makundi maalum Dr. Dorothy Gwajima,Mkurugenzi mkuu TBS,Meneja wa TBS Dar es salaam,Mtendaji mkuu TWCC katika maadhimisho ya miaka 20 ya TWCC mapema week hiii. Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC)