Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa
@unep_kiswahili
Akaunti rasmi ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa 🌍🌏🌎
ID: 1098161814867755009
https://www.unep.org/sw 20-02-2019 10:05:54
1,1K Tweet
1,1K Takipçi
142 Takip Edilen
Ripoti ya UN Environment Programme ya Ubashiri wa Kimataifa inaangazia majanga ya kimataifa, athari zake zinazoingiliana na masuluhisho yanayoweza kutumika kuyazuia. unep.org/sw/resources/g…
Kwa kupigania #MalengoYaKimataifa na kuwapa vijana maarifa na rasilimali wanazohitaji ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, mwanaharakati wa Nigeria Omiunu Ebaide Queen 🇳🇬 anadhamiria kukuza mustakabali endelevu. Wasifu wake kwa @AfricaRenewal ya United Nations: un.org/africarenewal/…
Kuanzia na kutafuta fedha za kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabianchi hadi kwa kuimarisha usimamizi kupitia #AMCEN n.k, UN Environment Programme inashirikiana na nchi za Afrika kushughulikia changamoto kuu za mazingira. Zaidi kuhusu kazi yetu: unep.org/sw/regions/afr…
Kuboreka kunakoendelea kwa tabaka la ozoni ni mfano wa jinsi ulimwengu unavyoweza kushirikiana kukabiliana na changamoto za kimataifa. Tunapoelekea Mkutano wa Kilele kuhusu Siku Zijazo wa Umoja wa Mataifa, pitia kazi ya OzoneSecretariat kwa #OurCommonFuture: ozone.unep.org/ozone-day/mont…
Je, #MustakabaliWetuWaPamoja utakuwaje? Ripoti ya hivi majuzi ya UN Environment Programme ya ubashiri wa kimataifa inaangazia ishara 18 za mabadiliko zinazoonyesha uwezekano wa kutokea kwa usumbufu unaoweza kuathiri sayari na afya ya binadamu. unep.org/sw/resources/g…