Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile
Uhamiaji Tanzania

@uhamiajitz

Tanzania Immigration Services Department Official Twitter Account

ID: 986586155457089536

linkhttps://www.immigration.go.tz calendar_today18-04-2018 12:44:04

2,2K Tweet

67,67K Takipรงi

88 Takip Edilen

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ ZIJUE HUDUMA ZA UHAMIAJI โœจ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ›‚ Taratibu za KUVUKA MPAKA kihalali! Unapovuka mpaka wa Tanzania โ€“ iwe ni KUINGIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au KUTOKA ๐ŸŒ โ€“ hakikisha unafuata masharti haya: โœ… Pitia kituo rasmi cha uhamiaji (ardhi, anga au bahari) ๐Ÿ“„ Kuwa na pasipoti halali au hati mbadala ya

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ UHAMIAJI TANZANIA ๐Ÿ›‚ ๐Ÿ“ข MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025 ๐Ÿ“ Chinangali Park, Dodoma ๐Ÿ“… 16โ€“23 Juni 2025 ๐Ÿ•˜ Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni ๐ŸŽฏ KAULI MBIU: "Himiza matumizi ya mifumo ya kidijitali ili kuongeza upatikanaji wa taarifa na kuchagiza

๐Ÿ›‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UHAMIAJI Tanzania tupo kwenye maonesho Chinangali! ๐ŸŽ‰ Wiki ya Utumishi wa Umma 2025! ๐Ÿ“ Chinangali Park โ€“ Dodoma ๐Ÿ“… 16โ€“23 Juni โฐ Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi jioni โœ… Maombi ya Pasipoti โœ… Viza & ETD โ€“ Hati ya Dharura ya Kusafiria โœ… Elimu juu ya Uhamiaji Haramu na

๐Ÿ›‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UHAMIAJI Tanzania tupo kwenye maonesho Chinangali!

๐ŸŽ‰ Wiki ya Utumishi wa Umma 2025!
๐Ÿ“ Chinangali Park โ€“ Dodoma
๐Ÿ“… 16โ€“23 Juni
โฐ Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi jioni

โœ… Maombi ya Pasipoti
โœ… Viza & ETD โ€“ Hati ya Dharura ya Kusafiria
โœ… Elimu juu ya Uhamiaji Haramu na
Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Uhamiaji Tanzania | WIKI YA UTUMISHI WA UMMA ๐Ÿ›‚ ๐Ÿ“ Viwanja vya Chinangali, Dodoma ๐Ÿ“… 16โ€“23 Juni 2025 โ“ Hujui namna ya kujaza fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni? ๐Ÿ†“ Usijali! Karibu kwenye banda la Uhamiaji upate elimu ya bure kabisa! โœ… Jifunze hatua kwa hatua namna ya

๐Ÿ›‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TBT ya Kibabe kutoka Uhamiaji! Miaka 7 iliyopita, Tanzania ilisitisha matumizi ya pasipoti za MRP na kuanza kutoa e-Passport! ๐Ÿ’ณโœˆ๏ธ ๐Ÿ”ฅ Pasipoti hii ni ya kisasa, salama, na inatambulika duniani kote ๐ŸŒ ๐Ÿ… Imeshinda tuzo ya EMEA Best e-Passport mwaka 2019! ๐Ÿ“ Tembelea banda

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ›‚ UHAMIAJI MTANDAO โ€“ Huduma Kidigitali! ๐Ÿ’ป๐Ÿ“ฒ Karibu katika zama za huduma bora, haraka na salama kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania! Sasa unaweza kupata huduma zifuatazo kwa njia ya mtandao: โœ… e-Passport โ€“ Omba pasipoti mtandaoni kupitia: immigration.go.tz โœ… ETD โ€“

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#UhamiajiUpdates CGI DKT. ANNA MAKAKALA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MANYOVU, ASISITIZA UIMARISHAJI WA ULINZI NA USALAMA MIPAKANI Na. A/Insp. Amani Mbwaga, Manyovu-Kigoma. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, CGI Dkt. Annaย  Makakala, leo tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya

#๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#UhamiajiUpdates CGI DKT. ANNA MAKAKALA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MANYOVU, ASISITIZA UIMARISHAJI WA ULINZI NA USALAMA MIPAKANI

Na. A/Insp. Amani Mbwaga, Manyovu-Kigoma.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, CGI Dkt. Annaย  Makakala, leo tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya
Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

#WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA ๐Ÿ“#CHINANGALI_PARK #Huduma zinaendelea kutolewa. Kwa familia mbalimbali za wakazi wa Dodoma! Wikiendi hii ni wakati mzuri wa kutembelea Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Usikose kutembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Viwanja vya

#WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA
๐Ÿ“#CHINANGALI_PARK 

#Huduma zinaendelea kutolewa.

Kwa familia mbalimbali za wakazi wa Dodoma! Wikiendi hii ni wakati mzuri wa kutembelea Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

Usikose kutembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Viwanja vya
Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UHAMIAJI RECAP โ€“ WIKI HII! ๐Ÿ“ป Elimu โœ๏ธ | Usalama ๐Ÿ›‚ | Uraia ๐Ÿชช ๐ŸŽ™๏ธ Katika muhtasari huu wa wiki: ๐Ÿ“ Butiama, Mara โ€“ Elimu ya โ€œMjue Jirani Yakoโ€ kwa wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. ๐Ÿ“ Moshi, Kilimanjaro โ€“ Mafunzo ya Kiuhamiaji kwa Jeshi la Akiba โ€“ usalama wa mipaka

#๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟHABARIPICHA #MANYOVU #KIGOMA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania CGI Dkt. Annaย  Makakala akisalimiana na Baadhi ya Maafisa Uhamiaji wa Burundi (Waliovaaa Sare za Blue Bahari)ย  leo tarehe 21 Juni 2025, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Uhamiaji Manyovu

#๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟHABARIPICHA #MANYOVU #KIGOMA 

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania CGI Dkt. Annaย  Makakala akisalimiana na Baadhi ya Maafisa Uhamiaji wa Burundi (Waliovaaa Sare za Blue Bahari)ย  leo tarehe 21 Juni 2025, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Uhamiaji Manyovu
Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

#TBT #ThrowBackThursday ๐Ÿ›‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Miaka 3 iliyopita, Idara ya Uhamiaji ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ilizindua rasmi kampeni ya #MjueJiraniYako ๐Ÿก๐Ÿ‘€ โ€“ ikihamasisha wananchi kuwatambua wanaoishi nao kwa ajili ya usalama wa Taifa. Kupitia kampeni hii: โœ… Wahamiaji haramu wanatambuliwa โœ… Ushirikiano kati ya

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ WEEKLY RECAP | UHAMIAJI TANZANIA ๐Ÿ“ Tazama muhtasari wa matukio 7 makubwa ya Wiki hii kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania! 1๏ธโƒฃ Rais Dkt. Samia ahitimisha shughuli za Bunge, aeleza mafanikio ya Uhamiaji. 2๏ธโƒฃ Kurasini: Maafisa wafanya mazoezi ya ukakamavu ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’ช 3๏ธโƒฃ Shinyanga: NGOs

Uhamiaji Tanzania (@uhamiajitz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ธ MJUE JIRANI YAKO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Idara ya Uhamiaji Tanzania inaendelea na kampeni ya Mjue Jirani Yako kwa kasi kubwa nchi nzima โ€“ bara na visiwani! ๐ŸŒ ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฝ Maafisa Uhamiaji wanatoa elimu kwenye: ๐Ÿ—ฃ๏ธ Mikutano ya hadhara ๐Ÿซ Vyuo na mashule ๐Ÿ๏ธ Vituo vya bodaboda ๐ŸŽถ Maeneo ya starehe

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ HOW TO APPLY FOR A TANZANIA VISA ONLINE ๐ŸŒโœˆ๏ธ Are you planning to travel to Tanzania for tourism, business, studies, or volunteering? ๐Ÿ–ฅ๏ธ You can now apply for your visa 100% ONLINE in just a few steps! โœ… Visit: visa.immigration.go.tz โœ… Create an account โœ… Fill out