UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile
UCSAF-Tanzania

@ucsaft

Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services.
For more information call 0800110700

ID: 1357000480883421187

linkhttp://ucsaf.go.tz calendar_today03-02-2021 16:18:54

857 Tweet

1,1K Followers

12 Following

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Mtendaji Mkuu wa UCSAF-Tanzania Mhandisi Peter Mwasalyanda akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ujenzi wa Minara ya Mawasiliano Nchini mbele ya Kamati ya Kidumu ya Bunge ya Miundombinu katika kikao kilichoketi katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma tarehe 23 Agosti, 2024.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa <a href="/UcsafT/">UCSAF-Tanzania</a> Mhandisi Peter Mwasalyanda akiwasilisha taarifa ya  utekelezaji wa Ujenzi wa Minara ya Mawasiliano Nchini mbele ya Kamati ya Kidumu ya Bunge ya Miundombinu katika kikao kilichoketi katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma tarehe 23 Agosti, 2024.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📍Hali ya kupandisha hadhi( upgrade) minara 304 kutoka teknolojia ya 2G kwenda 3G/4G. #MawasilianoKwaWote #MawasilianoNchiNzima #KaziInaendelea

📍Hali ya kupandisha hadhi( upgrade) minara 304 kutoka teknolojia ya 2G kwenda 3G/4G.

#MawasilianoKwaWote 
#MawasilianoNchiNzima 
#KaziInaendelea
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📍Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 katika ngazi ya Mkoa. #MawasilianoKwaWote #MawasilianoNchiNzima #KaziInaendelea

📍Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 katika ngazi ya Mkoa. 

#MawasilianoKwaWote 
#MawasilianoNchiNzima 
#KaziInaendelea
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📍Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 katika ngazi ya Mkoa. #MawasilianoKwaWote #MawasilianoNchiNzima #KaziInaendelea

📍Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 katika ngazi ya Mkoa. 

#MawasilianoKwaWote 
#MawasilianoNchiNzima 
#KaziInaendelea
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) etembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Kanda ya Pwani, Mikocheni - Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2024. #WHMTH #TzDigitalTransformation #tzyakidijitali

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Connect to Connect (C2C) lililofanyika tarehe 18 Septemba, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia jijini Arusha.

Hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Connect to Connect (C2C) linalofanyika tarehe 18 na 19 Septemba, 2024 katika Hotel ya Gran Meliá jijini Arusha. #C2C #C2CSummit24 #Connect2ConnectSmit2024

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa( Mb), amezundua mafunzo ya TEHAMA kwa walimu yanayofanyika katika vituo vya Chuo Kikuu cha Dodoma, Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya.

Jumla ya walimu 300 kutoka shule za Sekondari za umma nchini, wanashiriki mafunzo ya TEHAMA yenye lengo la kuwajengea uwezo ili waweze kufundisha kwa kutumia vifaa hivyo pamoja na kutatua matatizo madogo madogo katika vifaa vya TEHAMA vinavyotolewa na Serikali kupitia UCSAF.

Jumla ya walimu 300 kutoka shule za Sekondari za umma nchini, wanashiriki mafunzo ya TEHAMA yenye lengo la kuwajengea uwezo ili waweze kufundisha kwa kutumia vifaa hivyo pamoja na kutatua matatizo madogo madogo katika vifaa vya TEHAMA vinavyotolewa na Serikali kupitia UCSAF.
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari , Bw. Mohammed Khamis Abdulla, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Jossen Mramba, wakiwa katika kikao cha kwanza cha kamati tendaji ya mradi wa ujenzi wa minara 636 ya Mawasiliano vijijini

Katibu Mkuu wa <a href="/wizarahmth/">Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari</a> , Bw. Mohammed Khamis Abdulla, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Jossen Mramba, wakiwa katika kikao cha kwanza cha kamati tendaji ya mradi wa ujenzi wa minara 636 ya Mawasiliano vijijini
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo ya TEHAMA kwa walimu hutolewa kwa walimu wa shule ambazo zimefikishiwa ama ziko kwenye mpango wa kufikishiwa vifaa vya TEHAMA kupitia mradi wa kuunganisha shule na mtadao wa intaneti( School Connectivity). #UCSAFtz #MawasilianoKwaWote #TeachersTraining2024

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📍MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU 2024. Mafunzo ya TEHAMA kwa walimu hutolewa kwa walimu wa shule ambazo zimefikishiwa ama ziko kwenye mpango wa kufikishiwa vifaa vya TEHAMA kupitia mradi wa kuunganisha shule na mtadao wa intaneti( School Connectivity). #UCSAFtz

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Siku ya tano ya mafunzo ya TEHAMA kwa walimu kituo cha UDOM, yameendelea leo ikiwa ni siku ya mwisho ya mafunzo hayo. Kituo hiki kilikuwa na jumla ya walimu 100 kutoka Mkoa wa Kigoma, Kagera, Geita, Simiyu na Shinyanga, Tabora, Manyara, Singida, Mara, Mwanza na Arusha.

📌Kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. #UCSAFtz #MawasilianoKwaWote #MawasilianoNchiNzima

📌Kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

#UCSAFtz 
#MawasilianoKwaWote 
#MawasilianoNchiNzima
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Jerry Silaa (Mb), amezindua mnara wa simu uliojengwa kwa ruzuku ya shilingi milioni 115 iliyotolewa na Serikali kupitia UCSAF. Mnara huo uliojengwa katika Kata ya Makuro Mkoani Singida utahudumia wananchi 15,613.