Tanzania Embassy | Zimbabwe (@ubalozizimbabwe) 's Twitter Profile
Tanzania Embassy | Zimbabwe

@ubalozizimbabwe

The official account of Tanzania Embassy to Zimbabwe. Also accredited to Mauritius.

ID: 1482322272782524421

linkhttps://www.zw.tzembassy.go.tz/ calendar_today15-01-2022 12:03:02

258 Tweet

2,2K Takipçi

147 Takip Edilen

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

President Dr. Samia Suluhu Hassan welcomes fellow African leaders,delegates and partners to the Africa Energy Summit 2025 to be held on the 27th - 28th Jan 2025 in Dar es salaam, Tanzania . 🇹🇿 #Mission300 #PoweringAfrica #Powering Tanzania

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Energy Summit to be held in Dar es Salaam on the 27th and 28th of January 2025. This summit marks a historic moment in our collective efforts to accelerate

Tanzania Embassy | Zimbabwe (@ubalozizimbabwe) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe watakaoshiriki kikao cha SADC cha Mawaziri kutoka sekta za ujenzi, uchukuzi na usafirishaji, mawasiliano na hali ya hewa wakiwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika katika Ubalozi wa Tanzania Harare leo rarehe 23/02/2025

Mheshimiwa Balozi Simon Nyakoro Sirro akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Zimbabwe Mheshimiwa Paul-Bertrand Barets alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Harare baada ya kufanya mazungumzo yaliyohusu Diplomasia ya uchumi

Mheshimiwa balozi Simon Nyakoro Sirro akipata maelezo kufuatia kufunguliwa kwa msimu wa Tumbaku nchini Zimnabwe ambapo bei ya juu kwa kilo moja ya Tumbaku imefikia USD 4.99 na bei ya chini ni USD 4.65

Viongozi wa Diaspora Harare wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi Simon N. Sirro pamoja na maafisa wa ubalozi baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika tarehe 12/03/2025 katika ofisi za ubalozi

Mheshimiwa Balozi Simon N. Sirro akiwa kwenye picha ya pamoja na Retsellisitsoe Khetsi ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la “African Regional Labour Administration Centre (ARLAC)” lenye makao yake Makuu mjni Harare. Mazungumzo yao yalilenga katika kueleza umuhimu wa Shirika hilo.

Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe

Tanzania Embassy | Zimbabwe (@ubalozizimbabwe) 's Twitter Profile Photo

After the tragic loss of Dr.Ndugulile,Tanzania comes back even stronger with the candidature of @moddyyakub whose accomplishments in Public Health speaks volumes on his sutability for the role of WHO African Region Director,we in Tanzania East Africa and SADC harbour deep conviction about

Tanzania Embassy | Zimbabwe (@ubalozizimbabwe) 's Twitter Profile Photo

Wawakilishi kutoka Tanzania na Zimbabwe wakihamasisha African Day live your dream MT. Kilimanjaro itakayofanyika tarehe 20-26/05/2025 ambapo watapanda Mlima kilimanjato. Wahamasishaji hao wa utalii walifika ubalozini kumsalimia Mheshimiwa Simon Nyakoro Sirro

Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, wamekutana kwa mazungumzo na wafanyabiashara wa tumbaku kutoka kampuni ya Rhodes Leaf Tobacco (RLT) na kujadiliana kuhusu manunuzi ya zao hilo kutoka nchini Tanzania. Wafanyabiashara hao wameonesha nia ya kufanya ziara nchini Tanzania