FIRST BORN ๐น๐ฟ
@tzmikese03
Elimu ya mafanikio ya kidijitali | Thamani kwanza, virality baadae | Tweet za kukuamsha na kukusogeza mbele | DM yako karibuni. ๐
ID: 1902112277643374592
18-03-2025 21:38:22
4,4K Tweet
504 Takipรงi
500 Takip Edilen
WARAKA WANGU KWA RAIS WA TLS No Disrespect President Boniface Mwabukusi wengine wanakukataa Pembeni ila mi naomba niwe straight kwako kama nilivokuwa straight kipindi nakupigia Kampeni. Chukua haya maneno yangu machache kama itafaa ila hata kama utayapotezea sitajiskia vibaya.