
Tanzania Community Networks Alliance
@tz_cna
tzCNA believe that the use of community-based bottom-up approaches is among the feasible solution to address the digital divide.
ID: 1295940591608627202
https://tzcna.or.tz/ 19-08-2020 04:29:42
4,4K Tweet
1,1K Takipçi
2,2K Takip Edilen

📍Unguja, Zanzibar Nikiwa Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA nilishiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya aiku ya Kiswahi visiwani Unguja,Zanzibar. Ilikuwa siku ya kutafakari, kujifunza, na kupokea maelekezo ya utekelezaji kuhusu namna bora ya kuendeleza lugha yetu adhimu ya Kiswahili



📍Dar es Salaam, Tanzania Kama uko Viwanja vya Sabasaba (Dar es Salaam), usikose kutembelea banda letu la Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA. Kuna mengi ya kujifunza na kushuhudia kuhusu hatma ya Kiswahili kama lugha ya maarifa na maendeleo. Tujivunie Kiswahili Chetu, Tukiendeleze kwa vitendo!



📍Pemba, Zanzibar 🎓 The University of Dodoma continues to reaffirm its commitment to improving the quality of education in Zanzibar. Our team is currently facilitating an intensive onboarding session with Trainers of Trainers as part of the Zanzibar Improving Quality of Basic Education








From connecting on LinkedIn to finally meeting in person at my office at The University of Dodoma. During the visit, I shared our progress and key achievements from our government-funded project on developing an AI-powered self-assessment tool for mental health conditions in Tanzania.



🇨🇦🤝🇹🇿 Ziara ya kuvutia kuona bunifu wa Akili Mlemba (AI) chini ya IDRC | CRDI hapa 🇹🇿! Mhe. Sarai ashuhudia AI ikifanya kazi – na kuboresha afya ya mifugo na kubadilisha ufugaji. 💡Ubunifu na matokeo. 🔍 Je, ungependa kuona suluhisho gani la AI lijalo? #CanadaInTanzania





📍Dodoma, Tanzania Nami nilikuwepo kabisa! Japo nilikaa kiofisa zaidi. NBCTanzania Amref Tanzania


📍Dodoma, Tanzania Beyond the run, it was a reminder of the power of community and collective effort towards creating positive impact. Grateful for the experience and the opportunity to contribute to a cause that matters. NBCTanzania Amref Tanzania


I am always learning from you, Big Boss! Your leadership and vision continue to inspire me every day Neema Mduma, PhD. We are truly proud to be working alongside IDRC | CRDI, Artificial Intelligence for Development, and Foreign, Commonwealth & Development Office through AfriAI Lab in advancing Responsible AI for sustainable development in Africa.