TzConnect (@tzdiscovery) 's Twitter Profile
TzConnect

@tzdiscovery

Get live Tweets of current issues and share with friends

ID: 2917514307

calendar_today12-12-2014 13:04:34

829,829K Tweet

205,205K Takipçi

135,135K Takip Edilen

KAPETO🇹🇿 (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Good Morning Footbal fans. Kwanini Waarabu Kwenye Mambo Ya Mpira Wanafanya Vizuri kushinda Sisi Watu Weusi..? Naomba kujua #ElimikaWikiendi

Good Morning Footbal fans.

Kwanini Waarabu Kwenye Mambo Ya Mpira Wanafanya Vizuri kushinda Sisi Watu Weusi..?

Naomba kujua #ElimikaWikiendi
Seka7Business (@seka7business) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu ana njia yake ya kuelekea kwenye mafanikio ogopa kutumia au kuiga njia ya kila mtu kisa alifanikiwa #ElimikaWikiendi

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inashika nafasi ya kwanza katika uzalishaji wa nazi Barani Afrika  namba kumi duniani.Eneo la uzalishaji wa minazi linakadiriwa kuwa hekta 700,000 na wastani wa uzalishaji wa nazi kwa hekta ni nazi 7,600 ambazo ni sawa na wastani wa tani 540,000. #ElimikaWikiendi

Tanzania inashika nafasi ya kwanza katika uzalishaji wa nazi Barani Afrika  namba kumi duniani.Eneo la uzalishaji wa minazi linakadiriwa kuwa hekta 700,000 na wastani wa uzalishaji wa nazi kwa hekta ni nazi 7,600 ambazo ni sawa na wastani wa tani 540,000.
#ElimikaWikiendi
Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile Photo

Pdr. Jonathan Mtalemwa. 💬"Si vibaya kufanikiwa, kuinuka na kupendwa. Ubaya ni kuinuka kwa kuwakanyaga wengine, kufanikiwa kwa kuwafanya wengine walie na kupendwa kwa kuwafanya wengine wachukiwe." #ElimikaWikiendi.

Mullo (@mullokozi) 's Twitter Profile Photo

#ElimikaWikiendi Achilia mategemeo ya kidunia ( High Expectations) na vitu Kama mali, watu, au matokeo ya mambo flani n.k Hii ni njia ngumu ila yenye hakika ya kupata amani ya ndani, kuishi bila tamaa, na kupunguza mateso ya dunia

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Macho ya dunia yalikuwa yameelekezwa Mashariki ya Kati. Anga la Israel na anga la Tehran lilikuwa limejaa milio ya makombora kwa siku nyingi. Watoto walilala kwenye mitaro, wazee walikimbilia hospitali zilizojaa. Lakini usiku mmoja, simulizi liligeuka. Katika jiji la Geneva

Macho ya dunia yalikuwa yameelekezwa Mashariki ya Kati. Anga la Israel na anga la Tehran lilikuwa limejaa milio ya makombora kwa siku nyingi. 

Watoto walilala kwenye mitaro, wazee walikimbilia hospitali zilizojaa. Lakini usiku mmoja, simulizi liligeuka.

Katika jiji la Geneva
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Walikutana kwenye chumba kidogo cha dharura ukuta ukiwa na bendera ya Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa UN alisimama katikati akisema Panapoendelea sekunde moja ya mapigano damu zaidi itamwagika. Dunia nzima imesimama tayari kupotea. Na ni nyinyi wawili tu mnaweza kuizuia.

Walikutana kwenye chumba kidogo cha dharura ukuta ukiwa na bendera ya Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa UN alisimama katikati akisema Panapoendelea sekunde moja ya mapigano damu zaidi itamwagika. 

Dunia nzima imesimama tayari kupotea. Na ni nyinyi wawili tu mnaweza kuizuia.
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Lakini video moja ilichezwa na Ilikuwa kutoka Gaza na Tehran watoto wawili mmoja Myahudi na mwingine Mshia wakilia kwa hofu ndani ya handaki. Ukimya ukatanda. Hakuna aliyetaka kubeba jina la muuaji wa vizazi vijavyo. Wakati huo huo taarifa ilifika kituo cha kijeshi cha Iran

Lakini video moja ilichezwa na Ilikuwa kutoka Gaza na Tehran watoto wawili mmoja Myahudi na mwingine Mshia wakilia kwa hofu ndani ya handaki. 

Ukimya ukatanda. Hakuna aliyetaka kubeba jina la muuaji wa vizazi vijavyo.

Wakati huo huo taarifa ilifika kituo cha kijeshi cha Iran
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Bomu la mwisho likawekwa kando. Dunia ikavuta pumzi Usiku huo, kalamu zikashikwa na wino ukawekwa kwenye karatasi nyeupe. Haya Yalijulikana kama Makubaliano ya Geneva yaani Israel na Iran walikubaliana kuacha mashambulizi yote mara moja. Hata Vikosi vya Umoja wa Mataifa

Bomu la mwisho likawekwa kando. Dunia ikavuta pumzi Usiku huo, kalamu zikashikwa na wino ukawekwa kwenye karatasi nyeupe. 

Haya Yalijulikana kama Makubaliano ya Geneva yaani Israel na Iran walikubaliana kuacha mashambulizi yote mara moja.

Hata Vikosi vya Umoja wa Mataifa
Counselor David (@counselordvd) 's Twitter Profile Photo

Hisia zisizosemwa hazikufi kamwe. Zinazikwa hai, na zitajiibua baadaye kwa namna mbaya zaidi ~ Sigmund Freud #ElimikaWikiendi

Mynzagric254 (@mynzagric254) 's Twitter Profile Photo

Say no more Fruitopia 1 acre Mango farming plan only goes for ksh 115,000/= - Imagine installing drip irrigation kit for your 1 acre mango orchard @ ksh 115,000/= ONLY You get Free knapsack sprayer, fungicide and 1 foliar fertilizer You can also choose to Lipa pole pole

Say no more 

Fruitopia 1 acre Mango farming plan only goes for ksh 115,000/= - Imagine installing drip irrigation kit for your 1 acre  mango orchard @ ksh 115,000/=  ONLY 

You get Free knapsack sprayer, fungicide and 1 foliar fertilizer 

You can also choose to Lipa pole pole
Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile Photo

Epuka matumizi ya Trans Fat! Ni hatari kwa afya ya moyo wako, soma lebo za vyakula na uchague bidhaa zisizo na Trans Fat. Afya yako ni muhimu! TAWLA #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #ElimikaWikiendi

Epuka matumizi ya Trans Fat! Ni hatari kwa afya ya moyo wako, soma lebo za vyakula na uchague bidhaa zisizo na Trans Fat. 
Afya yako ni muhimu!
<a href="/TawlaTZ/">TAWLA</a>
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#ElimikaWikiendi
Used Point (@usedpointtz) 's Twitter Profile Photo

NJOO UOKOTE MALI Dell latitude 7470✅ Corei5✅ Ram 8GB✅ Ssd 256GB✅ Processor 2.5GHz✅ Gen 6✅ Backlight keyboard✅ Kioo inch 14✅ Battery 4Hrs✅ 500,000/= ☎️0788106694

NJOO UOKOTE MALI

Dell latitude 7470✅

Corei5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅

Processor 2.5GHz✅
Gen 6✅

Backlight keyboard✅
Kioo inch 14✅

Battery 4Hrs✅

500,000/=
☎️0788106694
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

GEITA — SERIKALI imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fi dia wananchi wa mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML). Hatua hiyo imelenga kuleta

GEITA — SERIKALI imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fi dia wananchi wa mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML).

Hatua hiyo imelenga kuleta