TV47
@tv47news
Kenya's fastest-growing 24-hour TV- The home of untold stories.Gotv (Chan 20), DStv (Chan 268), SIGNET, BAMBA and ZUKU. Live on tv47.digital
ID: 1613689206529818628
https://www.tv47.digital/ 13-01-2023 00:07:57
57,57K Tweet
28,28K Followers
0 Following
Jiunge nao mbunge wa Kesses Julius Ruto na mawakili Charles Nguna na Ken Echesa watakao kuwa wakijadili 'mustakabali wa taifa' huku nahodha akiwa 'Lizah Mutuku' kwenye #UkumbiwaSiasa lizah mutuku
Hayawani asiye soni Bungoma Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Chebukaka eneobunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma,baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 47 kwa jina Beatrice akwenda kuuliwa kwa kudungwa visu na mumewe. #TV47News lizah mutuku
Watahinwa wa KCSE kupokea 'Maisha Card' Watahini wa mtihani wa KCSE mwaka huu ambao umeanza rasmi leo watapokea kadi mpya za usajili zinazofahimika kama Maisha Card kabla ya mtihani huo kukamilika. #TV47News lizah mutuku
"Kwa maoni yangu mashtaka ya Gachagua hayakufika vigezo vinazohitajika kubanduliwa ofisini."- Charles Omanga (Wakili) #UkumbiwaSiasa lizah mutuku
"Haifai tuwe na manaibu wa rais wawili, viongozi wa kanisa waliwaomba waridhiane kabla ya mchakato wa kumbandua Gachagua."- Charles Omanga (Wakili) #UkumbiwaSiasa lizah mutuku