
Tuzo Nyerere
@tuzonyerere
Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayotolewa na @wizara_elimuTz kupitia @TIE_Tanzania ili kukuza uandishi bunifu Tanzania. #TuzoNyerere
ID: 1567530031076745218
07-09-2022 15:07:48
643 Tweet
413 Followers
87 Following

Mjue Mtunzi Tuzo Nyerere Maundu Mwingizi Hongera sana Maundu Mwingizi kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere. Heshima kwako!




Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ushindi huu mkubwa kwangu nafasi ya 3 Riwaya ya Bweni la Wavulana Tuzo Nyerere 2025. Pongezi kwa washiriki wengine.


Ukialikwa, alikika. Utanashati wa Mwl. Nyerere kifikra na muonekano-ulitukuka nasi wajukuu tunaendeleza Tuzo Nyerere



Matukio: Mwenyekiti wa UWAVITA Cde Anna Meleiya Mbise akikabidhi fulana ya UWAVITA kwa Prof. Penina Mlama katika Usiku wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2025. Tuzo Nyerere Taasisi ya Elimu Tanzania


Matukio: Wanachama wa UWAVITA katika Usiku wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2025. Tuzo Nyerere Taasisi ya Elimu Tanzania


Matukio: Mwenyekiti wa UWAVITA, Cde Anna Meleiya Mbise katika Usiku wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2025 Tuzo Nyerere Taasisi ya Elimu Tanzania


Matukio: Viongozi wa UWAVITA wakiwa na baadhi ya wanachama katika Usiku wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2025 Tuzo Nyerere Taasisi ya Elimu Tanzania




KALAMU TATU NDANI YA PICHA MOJA. Wachawi wa maneno walioliteka jukwaa la Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere kwa miaka mitatu mfululizo na kuliangaza anga la uandishi bunifu wa Tanzania! Maundu Mwingizi Laura Pettie Hamisi Kibari Tuzo Nyerere



