Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile
Tunzaa Fintech Inc.

@tunzaahq

App inayowezesha watumiaji kununua bidhaa kwa kulipa kidogo kidogo na kufikia malengo bila kuingia kwenye madeni. Anza na Tsh. 1,000 tu!

ID: 1194647991560355840

linkhttps://tunzaa.co.tz/ calendar_today13-11-2019 16:07:42

8,8K Tweet

8,8K Takipçi

2 Takip Edilen

Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

📢 Iongezee hadhi biashara yako kwa kuwapa nafasi wateja wako kulipia kidogo kidogo na Tunzaa API. ✅ Rahisi kuunganisha kwenye biashara yako ✅ Ongeza wateja na mauzo kwa malipo ya awamu ✅ Huduma salama na ya uhakika 📲 Tembelea mauzo.tunzaa.co.tz

Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

Tunakupa uhuru wa kutimiza malengo yako ndani ya muda uliopanga! 📲 Mwambie rafiki yako pia – Tunzaa wanapatikana ndani ya App ya M-Pesa! Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi: +255 673 755 217

Tunakupa uhuru wa kutimiza malengo yako ndani ya muda uliopanga!

📲 Mwambie rafiki yako pia – Tunzaa wanapatikana ndani ya App ya M-Pesa!
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi: +255 673 755 217
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

🌍 Ukigeuka huku—teknolojia mpya! Ukigeuka kule—ubunifu mpya! Usiachwe nyuma lipa kidogo kidogo 🛍️ Anza manunuzi sasa: shop.tunzaa.co.tz

🌍 Ukigeuka huku—teknolojia mpya! Ukigeuka kule—ubunifu mpya!
Usiachwe nyuma lipa kidogo kidogo

🛍️ Anza manunuzi sasa: shop.tunzaa.co.tz
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

Ukianza leo kulipia kidogo kidogo, Desemba inakukuta kijanja sana🤝🏿🤝🏿 Jipatie Sony Home Theatre kupitia Tunzaa! ✅ Unganisha kupitia HDMI, USB, Bluetooth & CD/DVD ✅ Miliki bila kulipa gharama kubwa mara moja 📲 Weka oda yako sasa: 👉 shop.tunzaa.co.tz

Ukianza leo kulipia kidogo kidogo, Desemba inakukuta kijanja sana🤝🏿🤝🏿

Jipatie Sony Home Theatre kupitia Tunzaa! 

✅ Unganisha kupitia HDMI, USB, Bluetooth & CD/DVD

✅ Miliki bila kulipa gharama kubwa mara moja

📲 Weka oda yako sasa: 👉 shop.tunzaa.co.tz
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

Huku biriani swadakta, huku unatupia buku Tunzaa. Mjini akili mtu wangu 😎 Fanikisha malengo bila stress 👉 shop.tunzaa.co.tz

Huku biriani swadakta, huku unatupia buku Tunzaa.
Mjini akili mtu wangu 😎

Fanikisha malengo bila stress 👉 shop.tunzaa.co.tz
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

🚨 We're Hiring! Tunzaa is looking for Senior Software Engineers to join our team 💻 Are you ready to build the future with us? 📲 Apply now by clicking the link below forms.gle/riw23BuNPPER4Z…

🚨 We're Hiring!

Tunzaa is looking for  Senior Software Engineers to join our team 💻

Are you ready to build the future with us?

📲 Apply now by clicking the link below

forms.gle/riw23BuNPPER4Z…
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

🚨 LIVE ALERT! 🚨 Baada ya kujifunza jinsi ya kujiunga na Tunzaa hatua kwa hatua 🛠️, safari inaendelea! 🔥 Jiunge nasi LIVE 📲 wiki hii kwenye Jifunze na Tunzaa tukizungumzia: Jinsi ya kuperuzi, kupata bidhaa na kuweka oda 🛒✨ Usikose! 👀 🗓️ 24/04/2025 📍 Tunzaa Instagram

Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

Kutumia Tunzaa siyo tu kuweka kidogo kidogo, ni kujifunza kupanga fedha zako kwa uangalifu. Unafikia malengo bila madeni, unajenga tabia bora za kifedha, na unaishi bila presha ya matumizi ya haraka. 👉 shop.tunzaa.co.tz

Kutumia Tunzaa siyo tu kuweka kidogo kidogo, ni kujifunza kupanga fedha zako kwa uangalifu.
Unafikia malengo bila madeni, unajenga tabia bora za kifedha, na unaishi bila presha ya matumizi ya haraka.
👉 shop.tunzaa.co.tz
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

We’re looking for talented individuals to join the Tunzaa team! Open roles include: 📞 Telemarketers – forms.gle/VtQDHM3GmrTkYb… 💻 Data Entry Clerks – forms.gle/KXUtahMCLEhh1Z… 📸 Content Creators – forms.gle/nrUPvy9LGNbFye…

We’re looking for talented individuals to join the Tunzaa team!

Open roles include:

📞 Telemarketers – forms.gle/VtQDHM3GmrTkYb…

💻 Data Entry Clerks – forms.gle/KXUtahMCLEhh1Z…

📸 Content Creators – forms.gle/nrUPvy9LGNbFye…
Tunzaa Fintech Inc. (@tunzaahq) 's Twitter Profile Photo

We’re looking for Content Creators! Can you create videos, graphics, or cool social media posts? Let’s work together! Apply here: forms.gle/nrUPvy9LGNbFye…

We’re looking for Content Creators!
Can you create videos, graphics, or cool social media posts?

Let’s work together!

Apply here: forms.gle/nrUPvy9LGNbFye…