Tumaini (@tumaini7) 's Twitter Profile
Tumaini

@tumaini7

Science and Technology enthusiast|STEM| Computer Maintainer|Physics & Maths Teacher|

ID: 794808434042556416

calendar_today05-11-2016 07:47:52

16,16K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Napigiwa simu na viongozi wangu kutoka Majimboni, kwamba eti Tume ya Uchaguzi imewapelekea barua za mwaliko kwenda kwenye vikao vya kupokea maelekezo ya Uchaguzi, na wanawasisitiza wasaini na Dispatch kuonyesha wamepokea hizo barua. Sasa nimebaki nawashangaa Tume, sisi Chadema

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu ni lazima tutarudisha usafi kwenye mfumo wetu wa uchaguzi. Bila kusafisha huu mfumo, Nchi yetu itateswa na hawa wahuni kwa mda mrefu sana . Wanaiba hela za umma, wanazitumia kununua umma ambao umefanywa masikini na wao. Hawana aibu, uongozi unageuka kuwa. Baba, mama,

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Nimepigiwa simu na watu wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu yanayoendelea. Msimamo wangu ni huu; 1. Naunga mkono #NoReformsNoElection kwa sababu nimechoka kuona watu wakifa, kuumizwa, kugeuzwa walemavu, na wengine kusota gerezani kwa sababu tu ya uchaguzi. Nilipiga kura

Nimepigiwa simu na watu wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu yanayoendelea. Msimamo wangu ni huu;

1. Naunga mkono #NoReformsNoElection kwa sababu nimechoka kuona watu wakifa, kuumizwa, kugeuzwa walemavu, na wengine kusota gerezani kwa sababu tu ya uchaguzi. Nilipiga kura
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv (@olengurumwao) 's Twitter Profile Photo

Nchi hii watu wanakaa na siri nyingi sana - Lakini swala la Lisu lipo wazi nani alitaka apoteee kabisa katika nchi hii. Lala salama Mhe Ndugai. Watanzania tunapaswa kuombwa radhi kwa yote tuliyofanyiwa na kukomesha mambo kama haya

Nchi hii watu wanakaa na siri nyingi sana - Lakini swala la Lisu lipo wazi nani alitaka apoteee kabisa katika nchi hii.  Lala salama Mhe Ndugai. 

Watanzania tunapaswa kuombwa radhi kwa yote tuliyofanyiwa na kukomesha mambo kama haya
Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea taarifa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Ruvuma David Komba & Katibu wake Imani Limanyile tangu saa mbili asubuhi wanashikiliwa na jeshi la Polisi (OCD Songea mjini). Sababu za kushikiliwa kwao ni maandalizi ya kongamano la BAVICHA lililotegemewa kufanyika kesho. UOGA TU

Nimepokea taarifa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Ruvuma David Komba & Katibu wake Imani Limanyile tangu saa mbili asubuhi wanashikiliwa na jeshi la Polisi  (OCD Songea mjini).  Sababu za kushikiliwa kwao ni maandalizi ya kongamano la BAVICHA lililotegemewa kufanyika kesho. UOGA TU
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunawazidi akili, zama hizi ukitumia mbinu za Makaburu utafail. Tutaongea na vijana, siku ya vijana duniani. Nchi ni yetu hatutakubali igeuzwe mali ya kakikundi kadogo na maslahi yao. Vijana tuna wajibu wa kupigania future yetu, huu ni mwaka wa kuchukua hatua.

Tunawazidi akili, zama hizi ukitumia mbinu za Makaburu utafail.

Tutaongea na vijana, siku ya vijana duniani.

Nchi ni yetu hatutakubali igeuzwe mali ya kakikundi kadogo na maslahi yao.

Vijana tuna wajibu wa kupigania future yetu, huu ni mwaka wa kuchukua hatua.
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

UTAKUWA HURU TENA BABA!!! THE POWER OF GOD CONQUERS ALL AUTHORITIES!!! 📿✝️ Haki yako isipotoka kwenye vinywa vya wanadamu itatolewa kwa Mkono wa Mungu mwenyewe wenye mamlaka zote...

UTAKUWA HURU TENA BABA!!!

THE POWER OF GOD CONQUERS ALL AUTHORITIES!!! 📿✝️

Haki yako isipotoka kwenye vinywa vya wanadamu itatolewa kwa Mkono wa Mungu mwenyewe wenye mamlaka zote...
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kaka Mwingira sijui niseme nini.. tumefahamiana mda mrefu kwenye mapambano yetu ya kudai Nchi bora yenye miundombinu bora na maisha mazuri kwa kila mtu. 70% ya ajali za Nchi hii zinatokana na miundombinu mibovu, barabara finyu za hovyo zilizojaa mashimo. Potholes kila sehemu.

Kaka Mwingira sijui niseme nini.. tumefahamiana mda mrefu kwenye mapambano yetu ya kudai Nchi bora yenye miundombinu bora na maisha mazuri kwa kila mtu.

70% ya ajali za Nchi hii zinatokana na miundombinu mibovu, barabara finyu za hovyo zilizojaa mashimo. Potholes kila sehemu.