Habari za mchana wapendwa! Ninauza mafuta ya kuondoa madoa madoa na michirizi kwa bei ya shilingi 15,000 tu.
Nakuletea ulipo kwa gharama zako boss wangu. Karibuni🥰🤗😊
Manzi Anakutext Mchana Huu Anakwambia Kuwa Hana Bando, Mwanaume Unajisachi Unachukua 5000/= Kiroho Safi Unampa.
Baadae Unapitia WhatsApp Status Yake Unakuta Amekipost Kibishoo Flani Hivi Huku Kakiziba Na Emoji Ya Kopa Kwa Uso Wake.💔😭
Wanaume Tunapitia Mengi Sana.😂
6/11/2020 King von anashutiwa ingekua amekufa Lil durk sidhan kama kama had leo kina Quando Rondo na wenzie wangekua wanapumua .Nb Lil durk sio gangster🥷🏿🔫 ni tapel 🚮