Troo Funkmonk (@troofunk) 's Twitter Profile
Troo Funkmonk

@troofunk

🎬 Movie Producer ㅣCreative Entrepreneur ㅣMarketing Guru 👽ㅣEntertainment Analyst🔌 ㅣ@diggdownproductions 🎬@chemchemstudios

ID: 1858918588444286976

calendar_today19-11-2024 17:02:26

966 Tweet

649 Takipçi

3,3K Takip Edilen

Troo Funkmonk (@troofunk) 's Twitter Profile Photo

Unaenda Madrid ambako KOMBE la UEFA likiiona MADRID linaifuata ila sasa wewe upo hapo Madrid Kombe likiiona tu Madrid linaikimbia😂 Ulikotimkia Kombe la UEFA nalo likiiona hiyo timu linaikimbilia. Maisha hayana FORMULA PSG anabeba EUFA mwaka huu amehangaika muda mrefu.

Troo Funkmonk (@troofunk) 's Twitter Profile Photo

#Kichwachakoserikaliyako Familia yako ndio chama chako na serikali yako ipigie kura na hakikisha INAKULA. Mengineyo ni marudio tu HAKUNA SERIKALI ITAKAYO LETEA HELA YA MBOGA KTK FAMILIA YAKO.

Troo Funkmonk (@troofunk) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati sasa wa Simba Sports Club kuwa na uwanja wake wa NYUMBANI haya mambo ya kutegemea kunywa UJI wa mgonjwa AKIFA na wewe UNAKUFA akipona na WEWE una KUFA.