
Zacharia Aron
@zachariaaron1
Msumbwa
ID: 1573243626578132992
23-09-2022 09:32:03
725 Tweet
458 Takipçi
1,1K Takip Edilen




Kama utachoma miti hakikisha hauombi mvua, ukiishi kwa adabu ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua. Sipingwi upande huu,sishibi kwa picha ya mkate tu, Wakati ndio huu.. - Fareed K Kubanda ikikupendeza hiki kibao cha 'Utaua Game' kichapwe pale THE CASK tarehe 2 kwenye Bongo Flava Honors.








