YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile
YangaWhatsapp_MakaoMakuu

@yangawhatsapp

Ni Tawi La YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKU.
Call 0685188679
Support Yako Kwa Ajili Ya Tawi
NMB BENK 20710063289 JINA YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU.

ID: 3307434094

calendar_today03-06-2015 19:36:21

12,12K Tweet

10,10K Takipçi

2,2K Takip Edilen

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 15 June timu yetu ya Yanga itakuwa na mchezo wa hisani na TP Mazembe kule Congo! Mchezo huu ni maalum kwa ajili ya kutafuta Amani nchini Congo

Kuna uwezekano mkubwa klabu yanga ikagomea mechi zote za TFF zilizobakia mpaka pale malalamiko ya msingi yatakapo chukuliwa hatua dhidi ya watu wa bodi ya ligi Tanzania...

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Ole wake atokee kiongozi apeleke timu tatehe 15 pale Benjamini mkapa ajue kabisa ndio utakuwa mwisho wake wa kuwa yanga kama kiongozi na hatokaa asogelee hii timu mpaka mwisho wake hapa Duniani Tumechoka haya mambo ya kipuuzi

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Wewe uu pumbavu kabisa , mimi nimetumia Akaunti yangu kukanusha uongo wenu . Appolo ambaye anaendesha account ya Tweeter alishaujulisha uongozi kuhusu kilichotokea na wewe unajua aliwajulisha ,ila unasema uongo wa kijinga tu . Kareem , aliyekuwa anaendesha youtube ,alimjulisha

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Lazima twende mahakamani tukasimamishe hakuna kutangaza bingwa mpaka uchunguzi waliosema bodi ya ligi utolewe kila mtu aelezwe, ili kuona haki yetu inatendeka ni kwenda mahakamani kuzia asitangazwe bingwa mpaka ufafanuzi waliousema bodi ya ligi wautoe hadharani. Mzee Msumi.

Ndg malinde mahona meneja wa uwanja wa taifa karudishwa wizaran Leo siyo tena meneja wa uwanja wa taifa 🙌 Nafasi yake imechukuliwa na Rashid mijuza

Ndg malinde mahona meneja wa uwanja wa taifa karudishwa wizaran Leo siyo tena meneja wa uwanja wa taifa 🙌

Nafasi yake imechukuliwa na Rashid mijuza
YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

YANI YANGA WASEME VISITI ZANZIBAR NA MKUU WA VILABU AFRICA NI ENGINEER ALAFU ITOKEE MASHINDANO MAKUBWA YAFANYIKE DAR ES SALAAM SASA VISIT ZANZIBAR INGEKUWA NA MAANA GANI?😂 MTAJUA HAMJUI DADADEEEQ😂

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Ukweli usiosemwa Mashabiki wa mpira Tanzania tunachezewa sana kiukweli. Tumenunua tiketi za mechi ya daby Mwendawazimu mmoja tu akaahirisha daby na hela zetu zimeyeyuka. Mechi ya fainali ya Simba mashabiki wametapeliwa na uongozi wa simba hili nalo linapita tu.

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa matawi kesho viongozi wetu wameitwa na Bodi ya ligi. Kikao Chao kitakua pale Ilala kwenye ofisi za Bodi ya ligi Kama wanachama wapenzi na mashabiki mlivyofanya wakati wameitwa na waziri pale Benjamini kesho iwe mara mbili Ili kuonyesha kua haya sio maamuzi ya viongozi

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Kuna taarifa zisizokuwa na shaka kabisa Kuwa simba Hawataeta timu kwenye mechi ya tarehe 25.. hii haijalishi nini kitawatokea ila hawatashiriki hii mechi. Kwa nguo kali karibu sana MooKabwe Sports Store MooKabwe

Kuna taarifa zisizokuwa na shaka kabisa Kuwa simba Hawataeta timu kwenye mechi ya tarehe 25.. hii haijalishi nini kitawatokea ila hawatashiriki hii mechi. 

Kwa nguo kali karibu sana 
<a href="/MooKabweSports/">MooKabwe Sports Store</a> <a href="/MooKabwe/">MooKabwe</a>
YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Ni jambo jema kama ukiwa na kadi ya Yanga na ukalipia ada kuendelea kuishikilia kadi ambayo haujalipia ada ni matumizi mabaya ya kadi yako. Mafanikio ya klabu yetu ni pamoja na wewe..nguvu ya uchumi wa klabu inajengwa na wewe. Lipa ada yako sasa.

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Mchezaji Wa Yanga mzize ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumia yanga mpaka mwaka 2028 Mzize ameongezewa mshahara mara nne ya anao lipwa sasa . Na amepewa usafiri wa gari yenye thamani ya 85 Mpya. Kiufupi ni kuwa mzize ataendelea kukiwasha jangwani mpaka 2028.

Watu wengi wameshangazwa na thamani ya klabu yetu kuwa ni bilioni 100 ila wanashindwa kujua kuwa klabu yetu ina wanachama 91000. KLABU YA YANGA NDIO KLABU YENYE RASLIMALI WATU WENGI KULIKO KLABU YOYOTE ILE NA YENYE MAENEO MENGI KULIKO KLABU YOYOTE ILE! Mwakani sio 100 tena ni 200

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

KWA MKAPA HATOKI MTU🔥 Mechi 5 goli 1 yaani 5-1 Yanga 1-0 Simba - Ngao ya Jamii Simba 1-1 Gaborone United - Raundi ya Kwanza CCL Simba 0-0 Nsingizini United - Raundi ya Pili CCL Simba 0-1 Petro Atletico - Makundi CCL Simba 0-2 Azam FC - NBCPL.

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Kama sio mabadiliko ya ratiba, leo ilikuwa ichezwe Derby ya Kariakoo. Yaani leo, Yanga SC alikuwa mwenyeji wa Simba SC. Unadhani matokeo yangekuwaje? 😂

YangaWhatsapp_MakaoMakuu (@yangawhatsapp) 's Twitter Profile Photo

Mabondiwa wengi wanatafuta umaarufu kupitia kwa Mwakinyo Roho za umasikini zinawatesa sana Uzuri Tanga hatokei bora Iwe kwa vitabu vya dini hamumuwezi ile kwa uchawi hamumuwezi Iwe kwa kumuomba Mungu Hamumuwezi Mungu ameshasema Yes kwake.