Walter Kinjo (@walterkinjo) 's Twitter Profile
Walter Kinjo

@walterkinjo

The Equalizer | There’s no comfort in the truth, pain is all you find @walterkinjo, Sport Journalist Radio Maisha.

ID: 2330612844

calendar_today06-02-2014 17:33:26

2,2K Tweet

16,16K Takipçi

759 Takip Edilen

Walter Kinjo (@walterkinjo) 's Twitter Profile Photo

Wenyewe wanasema ligi inaanza leo! Radio Maisha 102.7 FM Karibu ndani tuzungumze kimichezo 10pm Manchester United vs Wolves. Twende kazi!

Wenyewe wanasema ligi inaanza leo!
Radio Maisha 102.7 FM 
Karibu ndani tuzungumze kimichezo 10pm
Manchester United vs Wolves.
Twende kazi!
Mmbone Mercy (@mmbonemercy1) 's Twitter Profile Photo

Kesho ninaanza safari mpya kwenye Radio Maisha . Kila Jumatatu Hadi Ijumaa 4am -6am kwenye kipindi Safari nitakuwa nawe tuanze siku Kwa kutiana moyo 🙏🙏 #SafariNaMercyMmbone

Kesho ninaanza safari mpya kwenye <a href="/radiomaisha/">Radio Maisha</a> . Kila Jumatatu Hadi Ijumaa 4am -6am  kwenye kipindi Safari nitakuwa nawe tuanze siku Kwa kutiana moyo 🙏🙏
#SafariNaMercyMmbone
Radio Maisha (@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Tupatane asubuhi na mapema ndani ya Safari na Mercy Mmbone kutoka saa kumi hadi saa kumi na mbili asubuhi #SafariNaMercyMmbone #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi Mmbone Mercy

Tupatane asubuhi na mapema ndani ya Safari na Mercy Mmbone kutoka saa kumi hadi saa kumi na mbili asubuhi #SafariNaMercyMmbone #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi <a href="/MmboneMercy1/">Mmbone Mercy</a>
Mmbone Mercy (@mmbonemercy1) 's Twitter Profile Photo

#SafariNaMercyMmbone Ni siku njema ambayo mwenyezi Mungu ameifanya . Karibu kwenye safari Hapa Radio Maisha tuanze siku Kwa kutiana moyo . Unarausha Nani ?

#SafariNaMercyMmbone Ni siku njema ambayo mwenyezi Mungu ameifanya . Karibu kwenye safari Hapa <a href="/radiomaisha/">Radio Maisha</a> tuanze siku Kwa kutiana moyo . Unarausha Nani ?
Radio Maisha (@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Good morning!! Ni wakati wa Safari na Mercy Mmbone kutoka saa kumi hadi saa kumi na mbili asubuhi. #SafariNaMercyMmbone #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi Mmbone Mercy

Good morning!! Ni wakati wa Safari na Mercy Mmbone kutoka saa kumi hadi saa kumi na mbili asubuhi. #SafariNaMercyMmbone #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi <a href="/MmboneMercy1/">Mmbone Mercy</a>