OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile
OfisaHovyo

@wahovyo_hq

Sote ni waja wa Allah na sote kwake ni lazima tutarejea,Tumuombe Allah atupe mwisho mwema 🙏

ID: 1469582898290466822

calendar_today11-12-2021 08:20:57

76,76K Tweet

6,6K Takipçi

2,2K Takip Edilen

MVUVINYASA (@senior_ahoua) 's Twitter Profile Photo

Tulivyo ni watu tunapenda ujinga na upumbavu katika maisha yetu na sio haki, furaha,amani na mapendano, Lakin yupo mtu ambaye ni tumain letu, ambaye kamwe aachi kuwa nasi MUNGU BABA WA MBINGUNI. Good morning x family.

MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

Ila kile kipindi cha Uchaguzi wa ndani CDM tuliona rangi za watu wengi sana,kulikuwa na hiyo Team FAM ukisikiliza hoja zao utacheka mbaya Nimekusogezea mkanda mzima Video Thread

Ila kile kipindi cha Uchaguzi wa ndani CDM tuliona rangi za watu wengi sana,kulikuwa na hiyo Team FAM ukisikiliza hoja zao utacheka mbaya

Nimekusogezea mkanda mzima 
Video Thread
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 (@majizo_jr) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikuwa hujui kuna hizi huduma; 1. 𝗬𝗮𝘀 𝗞𝗶𝗻𝗮𝗿𝗮 𝗣𝗹𝘂𝘀 *148*44# 2. 𝗩𝗼𝗱𝗮𝗰𝗼𝗺 𝗣𝗼𝘀𝗽𝗮𝗶𝗱 *150*00# 3. 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝗦𝗠𝗘 *149*91# 4. 𝗛𝗮𝗹𝗼𝘁𝗲𝗹 𝗚𝗮𝘄𝗶𝗮, 𝗺𝗶𝗱𝗮𝘁𝗮 𝗞𝗶𝗯𝗮𝗼. 5. ZTE 5G ROUTER & YAS UNLIMITED INTERNET. Mawasiliano:

Kama ulikuwa hujui kuna hizi huduma;

1. 𝗬𝗮𝘀 𝗞𝗶𝗻𝗮𝗿𝗮 𝗣𝗹𝘂𝘀 *148*44#

2. 𝗩𝗼𝗱𝗮𝗰𝗼𝗺 𝗣𝗼𝘀𝗽𝗮𝗶𝗱 *150*00#

3. 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝗦𝗠𝗘 *149*91#

4. 𝗛𝗮𝗹𝗼𝘁𝗲𝗹 𝗚𝗮𝘄𝗶𝗮, 𝗺𝗶𝗱𝗮𝘁𝗮 𝗞𝗶𝗯𝗮𝗼.

5. ZTE 5G ROUTER & YAS UNLIMITED INTERNET.

Mawasiliano:
CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

MFAHAMU QUEEN GICANDA The Last Queen Of Rwanda👸🏽💔 🌍Miaka Kadhaa Behind Kidogo Paliwahi Tokea Mlimbwende Mmoja Alojaaliwa Uzuri, Upendo Ukarimu Na Karama Ya Uongozi Kama Malkia Chini Ya Miliki Ya Mumewe . King Mutara III Kabla Ya Mumewe Kutokomezwa {1959} Hapo Nchini Rwanda.

MFAHAMU QUEEN GICANDA

The Last Queen Of Rwanda👸🏽💔

🌍Miaka Kadhaa Behind Kidogo Paliwahi Tokea Mlimbwende Mmoja Alojaaliwa Uzuri, Upendo Ukarimu Na Karama Ya Uongozi Kama Malkia Chini Ya Miliki Ya Mumewe . King Mutara III Kabla Ya Mumewe Kutokomezwa {1959} Hapo Nchini Rwanda.
RasoulHK🍁 (@rasoulhk) 's Twitter Profile Photo

GOOD MORNING GUYS PLEASE QUOTE & REPOST IFIKE MBALI🍀🌿 📍FAHAMU DAWA ZA KIMASAI ZENYE MATOKEO CHANYA. Dawa za Dr. masai @kimani_keyman zinapatikana hasahasa kutokana na mimea, magome na mizizi mbalimbali zinatibu magonjwa na changamoto zingine za kiafya kama yafuatayo:

SUKAYO𝕏🇹🇿 (@sukayotz) 's Twitter Profile Photo

🚨 KINDLY REPOST Ni Alhamisi ya vibunda 💰 usikae kinyonge nafasi ya kushinda vibunda ni yako fanya bashiri zako sasa na Sokabet na ujishindie vibunda 💰 Kubet bofya 👉 sokabet.co.tz Au piga *149 *35# Booking code weka DDEF9 Mwisho follow Sokabet Tanzania

🚨 KINDLY REPOST

Ni Alhamisi ya vibunda 💰 usikae kinyonge nafasi ya kushinda vibunda ni yako fanya bashiri zako sasa na Sokabet na ujishindie vibunda 💰

Kubet bofya 👉 sokabet.co.tz
Au piga *149 *35#
Booking code weka DDEF9 

Mwisho follow <a href="/sokabettanzania/">Sokabet Tanzania</a>
𝐀𝐦𝐮𝐭𝐢 𝐐𝐮𝐧 (@_amutiqun) 's Twitter Profile Photo

𝐑𝐄𝐓𝐖𝐄𝐄𝐓 & 𝐐𝐔𝐎𝐓𝐄🧨 📍JE UNASUMBULIWA NA UGONJWA ULIOKOSA DAWA YA KUTIBU KWA MUDA MREFU. Basi suluhisho umelipata kwa Dr. Kimani Mollel wa Masai Herbal klinic iliyopo Dodoma. 📍Masai MAASAI MUUZA DAWA 🌿 anazo dawa zenye kutibu magonjwa na changamoto mbalimbali kama hizi👇

𝐑𝐄𝐓𝐖𝐄𝐄𝐓 &amp; 𝐐𝐔𝐎𝐓𝐄🧨

📍JE UNASUMBULIWA NA UGONJWA ULIOKOSA DAWA YA KUTIBU KWA MUDA MREFU.

Basi suluhisho umelipata kwa Dr. Kimani Mollel wa Masai Herbal klinic iliyopo Dodoma. 

📍Masai <a href="/KimaniDawa/">MAASAI MUUZA DAWA 🌿</a> anazo dawa zenye kutibu magonjwa na changamoto mbalimbali kama hizi👇
CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

GOOD MORNING EVERYONE 🙏 Anza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana. Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha

GOOD MORNING EVERYONE 🙏 
Anza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana.

Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha
OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile Photo

Ukiamini inawezekana, ukitia bidii mafanikio yapo mbele, usipo jaribu kufanya basi hapo umejikatia tamaa mwenyewe. M-MUNGU hutia nguvu ktk kila bidii za mtu Good morning