frank kayamba (@txomori) 's Twitter Profile
frank kayamba

@txomori

Mr sports

ID: 1882500573775245312

calendar_today23-01-2025 18:48:40

354 Tweet

153 Takipçi

447 Takip Edilen

frank kayamba (@txomori) 's Twitter Profile Photo

Tujitahidi kutumia mitandao ya kijamii vizuri kuna jamaa kaitwa kwenye interview kaambiwa tupe user name ya account yako ya Instagram na tiktok alafu wakasema interview yako imeishia hapa aje mwingine

frank kayamba (@txomori) 's Twitter Profile Photo

Bitcoin fear & greedy imefika 9 hii inaonesha ni hofu zaidi kwenye soko la crypto je huu ndio wakati sahihi wa kununua bitcoin na crypto currencies zingine??

Bitcoin fear & greedy imefika 9 hii inaonesha ni hofu zaidi kwenye soko la crypto je huu ndio wakati sahihi wa kununua bitcoin na crypto currencies zingine??
frank kayamba (@txomori) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mwenye ushahidi kuwa mbinguni kuna moto au pepo hayo yote yameandikwa kwenye vitabu tu hivyo tusikae na kuanza kubazana kwamba dini hii ni nzurii kuliko ya mwenzake

Crypto Leo⚡ (@cryptoleo_hq) 's Twitter Profile Photo

MANG'OMBE 🚀 kayamba crypto Umri hausubiri bo'b bora nsubiri zangu $BTC ifije bottom of bear cycle then nkinunua ikipanda atleast 400% kwenye bull cycle hiyo million inakua 4M faida withn 3 yrs or less. Ingawa wengi wanazipiga vita crypto kisa risks zake and volatility kubwa ila mm ntazid kuish humoumo 😎

MANG'OMBE 💡 (@mangombe_) 's Twitter Profile Photo

Elon Musk ana almost $850 Billion Networth, lakini cash anayomiliki ni less than 0.1% , wewe una 1 million yako yote umeweka bank ili uwe unaangalia salio kila siku Ya kwamba unaogopa kupoteza 1M yako , ila mwenye 850$ Billion yeye haogopii , kila siku tunasema ifanye hela