Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile
Tundu Antiphas Lissu

@tundualissu

Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivor

ID: 1106021802860515328

calendar_today14-03-2019 02:38:41

1,1K Tweet

776,776K Takipçi

306 Takip Edilen

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Ameonyesha kwa kauli & kwa vitendo kwamba anajali. Amethibitisha ujasiri wa kusimamia haki yake & ukweli wake. Amelipa gharama kubwa kutetea nchi yetu & watu wetu. Nani anayefaa kutuongoza mawakili wa Tanganyika zaidi ya Bonnie Anyisile Mwabukusi? Nakuja Dodoma kumpa kura yangu!

Advocates! This man deserves to serve us as President. He's proved it by word & deed. He stood up to be counted when it mattered. He's paid heavy price for his justice & his truth. He'll make TLS what it'd be: True Guardians of the Rule of Law. Rushing to Dodoma to vote for him!

Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13 Juni. Naomba radhi kwa kuwachelewesha sana. Hadi kufikia tarehe 31 Julai, takriban miezi miwili & nusu, mchango umefikia sh. 104,081,139 kutoka kwa wachangiaji 3,540. Wastani ni sh. 29,401 kwa mchangiaji. Nawashukuru!

Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya!

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Kwa vijana wote mlioko & mnaoelekea Mbeya: Na Mimi niko njiani kuja Mbeya kuungana nanyi. Kama ni kuzuiliwa au kukamatwa, & mimi wanizuie au kunikamata. Huu sio wakati kukaa kimya, kuogopa au kuuma uma maneno. Ni wakati wa kusimama & kuhesabiwa. Tupaze sauti kwa nguvu zetu zote!

Sauti Ya Watanzania (@sautiwatanzania) 's Twitter Profile Photo

EXCLUSIVE: MAZUNGUMZO NA TUNDU LISSU Wapi: Sauti Ya Watanzania Clubhouse Lini: Leo, Ijumaa, August 16, 2024 Muda: 2:00 Usiku (8:00PM) Tanzania Time Karibuni. Tundu Antiphas Lissu

EXCLUSIVE: MAZUNGUMZO NA TUNDU LISSU

Wapi: Sauti Ya Watanzania Clubhouse 

Lini: Leo, Ijumaa, August 16, 2024

Muda: 2:00 Usiku  (8:00PM) Tanzania Time

Karibuni.

<a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

The Ngorongoro Maasai are resisting brutal plans to forcibly evict them out of Ngorongoro. The Samia gov't has cut off social services, water, food & medical supplies to starve them out. It's expunged thousands from the voters roll. Their resistance deserves global solidarity!

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Wamaasai wa Ngorongoro wanapinga kuondolewa kwa nguvu kutoka Ngorongoro. Serikali ya Samia imewanyang'anya elimu, afya, maji & chakula. Imewafuta kwa maelfu kwenye Daftari la Wapiga Kura. Licha ya ukatili huu, wananchi hawa wamekataa kuondoka kwenye eneo lao. Mimi nawaunga mkono!

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro!

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Samia promised they won't be evicted from their lands. She lied. She robbed funds for their education, healthcare & water. Her Electoral Commission struck them off the voters register. Now her son-in-law has wiped their villages off the map. I stand with the Ngorongoro Maasai!