#TajiriLaKihaya
Wanaume hebu tuongee serious kidogo!
Tufanyeje kuepukana na hawa Matapeli wa Filters??
Haiwezekani mwanaume unatumia nguvu kubwa-
alafu kumbe mwanamke ni wa kawaida mno💔💔💔
Matumizi ya Filters limeshakua
JANGA LA TAIFA💔
Sentensi moja kwa bi Kizimkazi .. atazisoma hapa kwa uhakika
Mi naanza:
Roho nyeusi kama kutu 🚮
Hata msiseme eti sijui mkuu wa nchi tumheshimu! Thubutu!
Anaamuru watu wasio na hatia wapigwe, watekwe, wauwawe na wabambikiwe kesi
For what?
Rudi Kizimkazi utulie huko kama