Wakenya wakiongea kiswahili wanakuwa na accent inachekesha mbaya,Nimekuta clip za content creator flani utacheka mbaya
Nimekusogezea baadhi ya video zake
Video Thread
🧠🧠UKOMBOZI WA FIKRA(KIUCHUMI)
✍️✍️Kujikomboa kiuchumi hakuanzi kwa pesa mkononi, bali kunaanzia katika ubongo wako – yaani jinsi unavyofikiri, kuamini na kufanya maamuzi.
🔑 Hapa kuna mambo muhimu ya kiakili yanayoleta mabadiliko ya kifedha✊
Fuatana nami ktk Uzi huu🧵👇
Mambo 10 ya Kuzingatia ili kuwa na Ghetto lako
Kuanza ghetto si tu kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya yenye heshima na mipangilio.
Ili kuishi vizuri na kuepuka misingi mibovu, zingatia haya:
Uzi 🧵
1. Tathmini Kipato Chako
🛡️ USINUNUE KWANZA! JUA KAMA ENEO LINAMGOGORO AU LA!
Unatafuta kununua kiwanja au nyumba? Kumbuka: si kila linalouzwa ni salama kisheria. Kabla hujatoa hela yako:
✅ Hakikisha kuna *hati halali*
✅ Fanya *uhakiki wa wamiliki halali*
✅ Chunguza kama kuna mgogoro wa
Kuna mpangaji wenzangu hapa kila siku anakuja kuniomba hela ya mihogo, mara hela ya vocha. Af n mke wa mtu
Ipo siku nitamlomba buku buku zangu nyingi sana