Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile
Mwemezi Rwiza, PhD

@swahilibible

I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (scholar.google.com/citations?user…)

ID: 65426411

linkhttps://www.nm-aist.ac.tz calendar_today13-08-2009 18:11:56

48,48K Tweet

80,80K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuokoka au kwa kuokolewa au kwa kufanywa upya katika Kristo Yesu, hakuna mtu anaweza kujisifu kwamba ilikuwa juhudi yake. Mungu fundi bwana.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Profs from nmaist _official in Utete, Rufiji, for a research visit Tanzania ni kubwa. Kila mtu anaweza kupata mkate. Hatuna hata sababu ya kugombania chochote😎

Profs from <a href="/NM_AIST/">nmaist _official</a>  in Utete, Rufiji, for a research visit

Tanzania ni kubwa. Kila mtu anaweza kupata mkate. Hatuna hata sababu ya kugombania chochote😎
Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Utete ni mji mzuri. Mandhari saafi kabisa. Raia wake wako mswano kabisa ila sasa huduma za malaziii 😂😂😂 Nilichopenda: ukienda kwenye mgahawa ukawaambia wachinje kuku na kumchoma mbele ya macho yako, ni chap chap. 😂😂

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Praying for his life. Ni kijana anayeonekana anajielewa. Ni mdogo sana kwa umri lakini anaonekana kuwa na akili iliyo mature. Nchi yetu inawahitaji sana vijana kama huyu. Prayers!

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Ukimsoma vizuri Yesu kwenye gospels unagundua Yesu anapenda watu wasio na mambo mengi. Huwezi kuwa mtu mbishi-mbishi anayependa bureaucracy umejaa negative attitude halafu ukawa mfanyabiashara mzuri. "Kama wanaweza kuvua pesa, wanaweza kuvua watu." Logical, right?

Dennis Luambano (@luambanodennis) 's Twitter Profile Photo

Mwemezi Rwiza, PhD Kemmie🖤 Dokta, hii hoja ni two-way traffic, mambo ya ndoa na uhusiano yana mchanyato wa vitu mobu. Kuna watu hata hawana hizo PhD lakini ndoa/uhusiano wao ni zaidi ya toxic. Muhimu tumuombe Mungu atujalie tupate wenza bora 🙏..

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Halafu watu wengine, WAKRISTO, huwa wanakuja na maswali yao ya ajabu: "Wapi Biblia imesema mke mmoja au mume mmoja." Yesu anasema mwanaume (siyo wanaume) ataungana na mwanamke (siyo wanawake) na hao wawili (siyo watatu, siyo wanne, siyo watano) watakuwa mwili mmoja. Kitu gani