Mdada unatongozwa na mwanaume Unakaza
Jamaaa anajikataa freshi Tu
Baada ya wiki kadhaa unaanza kumshobokea,unamwita alafu humwambii kitu,hueleweki
Hapo inakua unamaana Gani🥹
Mtoto/ mdogo wako unamshauri asome kozi ipi...?
1.Kozi ya Afya
2.Kozi ya Biashara
3.Kozi ya ujenzi
4.Kozi ya Ualimu
5.Kozi ya Uchumi
6.Kozi ya Sheria
7.Kozi ya Mifumo,habari na teknolojia
8.Kozi ya kilimo