Comrade Mokiwa (@stevpm) 's Twitter Profile
Comrade Mokiwa

@stevpm

ishi. furahi. maisha ni haya haya. | Creative, PR & Marketing Consultant - @teknokona @techmsaada @TeknokonaGroup |

ID: 10451082

linkhttp://www.teknokonagroup.com calendar_today21-11-2007 20:56:42

105,105K Tweet

22,22K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Comrade Mokiwa (@stevpm) 's Twitter Profile Photo

China closes gap in AI model development. Experts expressed concern about how quickly Chinese models have improved in recent years. At the end of 2023, U.S. models performed better 17.5% of the time in language understanding tests (MMLU). Chinese systems narrowed that gap to

SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Maabara Kuu ya Kilimo Mtumba, Mkoani Dodoma, tarehe 08 Agosti 2025. Jengo la ghorofa 4 lenye maabara 14 za kisasa, hii itakuwa maabara ya rufaa kwa vituo vyote vya tafiti za kilimo nchini. Ujenzi umegharimu Bilioni 16.7 na Maabara hii ina

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Maabara Kuu ya Kilimo Mtumba, Mkoani Dodoma, tarehe 08 Agosti 2025. 

Jengo la ghorofa 4 lenye maabara 14 za kisasa, hii itakuwa maabara ya rufaa kwa vituo vyote vya tafiti za kilimo nchini. Ujenzi umegharimu Bilioni 16.7 na Maabara hii ina
Comrade Mokiwa (@stevpm) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s Sh54bn vocational education reform targets 43pc surge in student enrolment thecitizen.co.tz/tanzania/news/…

Comrade Mokiwa (@stevpm) 's Twitter Profile Photo

Uwezo wa kupokea, kuchakata na kuhimili feedback/ushauri usiohitajika ni a plus. Kujiepusha na unnecessary stress. #MentalMaturity

Comrade Mokiwa (@stevpm) 's Twitter Profile Photo

Motivation haifanyi kazi kila sehemu….... Kama mtu ni mjinga, your non-targetted motivation efforts zinaweza leta madhara makubwa zaidi. Anaweza akapata nguvu zaidi ya kuzidisha ujinga wake.

Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Comrade Mokiwa "Usisikilize maneno ya mtu, fanya kile akiki yako inakutuma'' Mimi kama tapeli maana yake nisisikilize wanaonisema niache utapeli hivyo nakaza. 😂