RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile
RPC MwanaMaono

@rpcmwanamaono

RPC MwanaMaono
Royal Priest Carlibama
رؤية الله لجهود الوقت وإدارته
Ruyat Allah Lijuhud Alwaqt Wa'iid
معلومات مهاجمة المعرفة باللغة العربية

ID: 1495140375446626311

calendar_today19-02-2022 20:57:19

239 Tweet

766 Takipçi

1,1K Takip Edilen

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

Why Mashoga Hawako Strong? Wamelegea Viungo, Kutembea Mpaka Sauti? #Manii (Shahawa} Zinaundwa Na Vitu Vinne #ACID_VIRUS_PROTEIN_SPERM #ACID Ktk Manii Hutumika Kama Tindi Kali Kazi Yake Kuunguza Na Kulegeza Ndomana Mwanamke Anayeingiliwa Ako Mlaini Sana #Usikose_Somo_Leo_Twetter_

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

STRUCTURE OF SUPER WOMAN Kibiblia Mwanamke Ana Sifa Kuu Tano #Mwanzo 2:18 #A}Mwanamke Kama Msaidizi #Mwanzo 2:23 #B}Mwanamke Kama Mke #Waamuzi 4:4 #C}Mwanamke Kama Mtumishi #Mithali 18:22/1 Petro 3:7 #D}Mwanamke Kama Kibali #Yeremia 31:22 #E}Mwanamke Kama Mlinzi

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Mtoto_Hajaandika_Barua_Ya_Maombi_Kuja Duniani, Ni Wewe Na Mwenza Wako Viranga Vyetu Mmepeana Mimba, Chukueni Majukumu Kama Wazazi Wa Mtoto, Kuzaa Mtoto Alafu Unamtelekeza Kwa Bibi Yake Hiyo Ni Ishara Huna Akili Unakwepa Uwajibikaji Kama Mzazi #Kaa_Na_Mwanao_Uone_Uchungu_Wa_Kulea

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Chukua_Majukumu Kuzaa Mtoto Na #Kumtelekeza_Kwa_Bibi_Yake #Hiyo_Ni_Ishara #Huna_Akili, Hufai Kuwa Mzazi Kama Ulivyopata Utamu Wakati Unafanya Ngono #Ndo_Ukae_Na_Mwanao_Sasa Ili Uwajibike Kulea, Kama Unajua Hujajipanga Kimaisha #Kwanini_Usifunge_Nzipu_Yako Utafute Maisha Kwanza?

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Chukua_Majukumu Mwanao Anatakiwa Akuwe Kwenye Misingi Yako #Kwenye_Imani_Yako, Hivi Unapoacha Mwanao Alelewe Na Bibi Yake Hapo Anapataje Misingi Yako Sasa? #Ujue_Akili_Yako_Sio_Akili_Ya_Mamako Ukiona Tu Hukai Na Mwanao Basi Ujue Wewe Akili Huna Na Unakwepa Majukumu Yako

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Biblia Inasema Mbinguni Hakuna Kuoana Ni Kuabudu Mungu Tu #Qur'an Inasema Mbinguni Kuna Kuoana Tena Mwanaume Anapewa Wake Elfu 70 Mabikira Waitwao #Mahurureini Tena Huko Peponi Kuna #Mito_Ya_Ulevi Tunalewa Tu Ukitumia Akili Za Kuzaliwa Utagundua #Haya_Mambo_Ni_Kama_Tunapangwa_Tu

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Mhubiri 7:20 Bila Shaka Hakuna Mwanadamu Mwenye Haki Hapa Duniani, #Ambaye_Afanya_Mema_Tu #Asifanye_Dhambi Kila Mtu #Anafanya_Dhambi Wengi Wanajihesabia Haki Sana Kuona #Dhambi_Za_Wenzao Ila Dhambi Zao Hawazioni Kabisa #Mtu_Yeyote_Asikupangie_Maisha Ikiwa Hana Anachokusaidia

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Galatia 6:5 Kila Mtu Atabeba Mzigo Wake Mwenyewe Maisha Yako Ni Jukumu Lako Maisha Ya Wengine Sio Jukumu Lako #Wema_Ukipitiliza_Ni_Tatizo_Lijue_Hilo #Wema_Usizidi_Uwezo, Huwezi Kumnyanyua Mtu Wakati Wewe Mwenyewe Bado Umekaa Ukishajipata Ndio Saidia Ndugu, Jamaa Na Marafiki

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

Anayeweza Kunijibu Anijibu Usipaniki Wala Wewe Jibu Ujuavyo #Mungu_Anasema_Samehe_7×70 #Kwanini_Mungu_Hakumsame_Shetani? #Why_Mungu_Hakumsamehe_Adamu_Edeni? Waombee Maadui Zako Pia Wapende Maadui Zako #Kwanini_Sasa_Mungu_Asimpende Shetani? #Mnisaidie_Majibu_Ndugu_Zangu

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Maskini_Nchi_Yangu_Tanzania Tupo Ndani Ya Miaka 60 Ya Uhuru Ambapo Hospital Za Rufaa Mjamzito Akijifungua Mtoto Wa Kike Basi Wewe Unailipa Serikali Yako Tsh.70,000/= Kumkomboa Mwanao Na Akipatikana Mtoto Wa Kiume Basi Unailipa Serikali Yako Tsh.100,000/= Kumkomboa Mwanao

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Wivu_Huwauwa_Wajinga #Chuki_Humla_Anayehiifadhi #Hasira_Iko_Kwa_Wapumbavu Qur'an 108.3 #Surat_Al-Kawthar Hakika Anayekuchukia Ndiye Aliye Mpungufu

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Wanaume_Wenye_Ndoto_Kubwa #Tunahitaji_Wanawake_Wenye_Imani_Kubwa Mwanamke Mwenye Over Confidence Hafai Angalia Mwanamke Ambaye Utamtawala Naye Anapendezwa Na Hilo Kutawaliwa Na Mumewe Coz Ndivyo Isemavyo Biblia Mwanzo 3:16 #Mwanamke_Hana_Maono Ndomana Yeye Alipewa #Bikira.....

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

@1884-1885 #MKUTANO_WA_BERINI Wazungu Walikaa Kikao Wakakubaliana Kuvamia Afrika Kila Mmoja Atawale Kipande Chande Aweke Na Mipaka Yake, Ili Kutufanya Wajinga Zaidi Wakaingiza Na Dini Ili Kila Tupatapo Akili Basi Tuwaze Mbinguni Huku Wenyewe Waendelee Kutubia Mpaka Hii Leo

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

Dubai Ina Watu Milioni 3 Tanzania Ina Watu Milioni 60 Serikali Ya Tanzania Imewapa Dubai Bandari Ya Dar Es Salaam Kusimamia, Hapo Ni Sawa Na Kusema Watu Milioni 3 Wanaongoza Watu Milioni 60, Dubai Wanachukua 40% Na Tz 60% Ya Mapato, Tungesimamia Wenyewe Tungechukua 100% Za Mapato

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Dunia_Nzima_Ina_Nchi_193 Madini Ya Tanzanite Yapo Tanzania Tu Duniani Kote, Chakushangaza India Ndio Nchi Namba 1 Duania Kote Kwa Kuuza Madini Yetu Ya Tanzanite, Sababu Zinafanya India Wawe Namba 1 Kuuza Madini Yetu Wala Sio Za Msingi #Tz_Ni_Masikini_Wa_Viongozi_Ila_Sio_Mali

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

Penzi Ni Kitovu Cha Uzembe Penzi Ni Kitovu Cha Uzembe Penzi Ni Kitovu Cha Uzembe #Penzi_Ni_Kitovu_Cha_Uzembe #Penzi_Ni_Kitovu_Cha_Uzembe #Penzi_Ni_Kitovu_Cha_Uzembe #Penzi_Ni_Kitovu_Cha_Uzembe #Penzi_Ni_Kitovu_Cha_Uzembe

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#WATANIONAJE_ITAKULAZA_NJAA Huna Kazi, Huna Elimu, Huna Connections Na Ulivyo Mjinga Wa Type C Unachagua Kazi Mtu Hali Yako Ni Pangu Pakavu Tia Mchuzi Unaowahofia Watakuonaje Wala Hawawazi Kuhusu Wewe Na Wakati Wa Magumu Yako Hupati Hata Mia Yao Mbovu, Zaidi Wakucheke Ujinga

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Maisha_Yanatufunza_Kwamba Unapofuga Ndege Basi Fuga Njiwa Na Kuku, Ili Njiwa Wakiruka Ubaki Na Kuku Ambao Kwa Vyovyote Lazima Warudi Bandani, Na Unapochota Maji Basi Chota Kwenye Ndoo Na Kwenye Kidumu Ili Kwenye Ndoo Yakimwagika Yabaki Kwenye Kidumu Ukaanzie Mapishi Yako

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Haya_Ni_Machache_Niyajuayo #Kama_Una_Mengineyo_Ongeza Mshahara Wa Mbunge+Posho Kwa Mwezi Anakula Milioni 13, Vikao Vya Bunge Kila Siku Anakula Laki 3, Bunge Likivunjwa Anakula Milioni 250 Niambie Kazi Gani Ya Msingi Anayofanya Mbunge Bungeni Ambayo Imeleta Matokeo Jimboni Kwako

RPC MwanaMaono (@rpcmwanamaono) 's Twitter Profile Photo

#Furaha_Ya_Wanaokula_Faida_Zao #Chunga_Isikufanye_Ukule_Mtaji_Wako Atumiaye Fedha Zake Kwa Anasa Asikuhemshe Ukatumia Zako Sawa Naye, Huenda Yeye Anakula Faida Alizosaka Kwa Muda Mrefu Nawewe Ndio Kwanza Una Mtaji Bado Hujaanza Hata Biashara Ya Kukufanya Ule Faida Kama Yeye