ricardomomo (@ricardomomo_) 's Twitter Profile
ricardomomo

@ricardomomo_

Number one reliable Source of #ZaNdaaaniKabisa Football News

ID: 1184693638628040705

calendar_today17-10-2019 04:53:12

388 Tweet

136,136K Takipçi

64 Takip Edilen

ricardomomo (@ricardomomo_) 's Twitter Profile Photo

RASMI: MBABE WA YANGA ABADILISHWA JINA, SASA KUITWA SINGIDA BLACK STARS: Vongozi wa timu ya Ihefu Sc iliyohamisha makazi yake kutoka Mbarali mkoani Mbeya na kwenda Mkoani Singida Umefanya mabadiliko ya jina la timu kutoka IHEFU SC na sasa itatambulika kama SINGIDA BLACK SC

RASMI: MBABE WA YANGA ABADILISHWA JINA, SASA KUITWA SINGIDA BLACK STARS:

Vongozi wa timu ya Ihefu Sc iliyohamisha makazi yake kutoka Mbarali mkoani Mbeya na kwenda Mkoani Singida Umefanya mabadiliko ya jina la timu kutoka IHEFU SC na sasa itatambulika kama SINGIDA BLACK SC
ricardomomo (@ricardomomo_) 's Twitter Profile Photo

Rais was Heshima wa Simba Sc, Mo Dewji ameahidi Donge Nono kwa Wachezaji wa klabu hiyo wakifuzu kucheza Nusu Fainali kwa kumtoa Al Ahly. WATAWEZA?

Rais was Heshima wa Simba Sc, Mo Dewji ameahidi Donge Nono kwa Wachezaji wa klabu hiyo wakifuzu kucheza Nusu Fainali kwa kumtoa Al Ahly.

WATAWEZA?