Rc_Mkoa_ Arusha (@rc_arusha) 's Twitter Profile
Rc_Mkoa_ Arusha

@rc_arusha

Government official page
all LGA's in Arusha Region well managed for sustainable development aimed at poverty reduction and promotion of economic growth.

ID: 1726838320825532416

linkhttp://www.arusha.go.tz calendar_today21-11-2023 05:42:57

1,1K Tweet

86 Takipçi

4 Takip Edilen

Rc_Mkoa_ Arusha (@rc_arusha) 's Twitter Profile Photo

Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping. Vile vile, amekutana na kuzungumza na Mhe. Wang Huning, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China, Jijini Beijing, 04. 09. 2024.