Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile
Amb. Humphrey H Polepole

@polepolehumph

Ndg, Humphrey PolePole | A concerned citizen od URT | Believe in people centred constitution.

Former Resigned, Ambassador Cuba

#KataaWahuni

ID: 2531370724

linkhttps://youtube.com/hpolepole calendar_today05-05-2014 16:01:38

91 Tweet

572 Takipçi

43 Takip Edilen

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

More than 900+ was attempted to takeout my X account today, but you won't and i promise you. you can't and you wont, i do not raise funds i won't be bribed, will tell you letter #kataawahuni

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

"Ulitekwa na nani?" ni swali zuri ukimuuliza mtu ambaye sio damu yako. Lakini "ulitekwa na nani" ni swali ambalo ungetamani kumuuliza ndugu, rafiki au jirani yako aliyepotea kwenye mazingira tatanishi. Kifo sio kifo tu #kataawahuni

"Ulitekwa na nani?" ni swali zuri ukimuuliza mtu ambaye sio damu yako.

Lakini "ulitekwa na nani" ni swali ambalo ungetamani kumuuliza ndugu, rafiki au jirani yako aliyepotea kwenye mazingira tatanishi.

Kifo sio kifo tu

#kataawahuni
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mvutano ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tanga umefikia hatua ya wazi baada ya makundi ya wanachama kuandamana na kutangaza kurejesha kadi za uanachama wao, wakipinga hatua ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

RUVUMA: Askofu Damian Denis Dallu, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ametoa wito kwa Viongozi mbalimbali wanapostaafu waiache Serikali mpya kufanya kazi kwa uhuru kwani inakuwa tayari ina mipango yao Ameyasema hayo katika maadhimisho la Misa Takatifu ya Jubile Kuu ya Ukristo ya

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

Kuna sehemu tumekosea kama nchi, Raia wanafurahia vifo hasa kwa waliojihusisha na dola. Raia hawatoi msaada kwa wanaojihusisha na dola au kujipendekeza mabaya yanapowakuta. Vipi kama hawatojihusisha na hizo teuzi, kuanzia ngazi ya mjumbe? Upendo #kataawahuni

Kuna sehemu tumekosea kama nchi, 

Raia wanafurahia vifo hasa kwa waliojihusisha na dola.

Raia hawatoi msaada kwa wanaojihusisha na dola au kujipendekeza mabaya yanapowakuta.

Vipi kama hawatojihusisha na hizo teuzi, kuanzia ngazi ya mjumbe? 

Upendo 
#kataawahuni
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“Mnafahamu mgodi mkubwa sana wa almasi upo Mwadui, Shinyanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere, unaitwa Williamson Diamonds? Almasi inayopatikana pale haipatikani popote ulimwenguni. Almasi yake ni rangi ya pinki. Malkia Elizabeth II wa Uingereza alipewa almasi hiyo akaweka kama

“Mnafahamu mgodi mkubwa sana wa almasi upo Mwadui, Shinyanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere, unaitwa Williamson Diamonds? Almasi inayopatikana pale haipatikani popote ulimwenguni. Almasi yake ni rangi ya pinki. Malkia Elizabeth II wa Uingereza alipewa almasi hiyo akaweka kama