mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile
mumbi

@mumbipoetry

God's child, poet, curator, a temporary arrangement of stuff. Kenyan

ID: 1073286609490067457

linkhttps://instagram.com/mumbipoetry calendar_today13-12-2018 18:40:43

537 Tweet

3,3K Takipçi

324 Takip Edilen

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

A little while ago a story I wrote got published by Jahazi Press in a short story anthology ‘let us conspire & other stories’ edited by Billy Kahora, available at Prestige Books in Nairobi 🫶🏿 it’s giving #publishedauthor

nitaanza kuandika posti hapa kwa Kiswahili mwaka huu kwa sababu ninatamani kuwa mzungumzaji hodari wa Kiswahili, na pia ninajifunza Kifaransa mwaka huu. Kwa hivyo nitajaribu kutoandika kwa kiingereza hapa, majaliwa 🥲

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

nimegundua wakati mwingi ninakata tamaa kuzungumza kwa Kiswahili kwa sababu Kiswahili kinatumia maneno mengi kupeana ujumbe ambao kwa Kiingereza ningetumia maneno machache, lakini ninajaribu kutokuwa mvivu na kujilazimisha kutunga sentensi zangu kwa Kiswahili

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

Ninaupenda huu wimbo sana, unasema "nina Mungu mkubwa, Mungu mkubwa sana, haniangushi mkono, daima yupo kando yangu, Mungu mkubwa sana" youtu.be/cGkKJuWB_58?si… Ninatumai mmekuwa na Jumapili njema, ninawatakia wiki ya heri na fanaka tele

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

Hamjambo rafiki? Je, mnajua kwamba tarehe tano mwezi wa pili mwaka elfu mbili ishirini na mbili Umoja wa Afrika ulikubali kuanza kutumia Kiswahili kama lugha rasmi? Inamaanisha kwamba Kiswahili ni lugha muhimu barani Afrika! Hivyo basi nimeamua mwaka huu kukitukuza Kiswahili!

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

kujilazimisha kuzungumza Kiswahili mtandaoni hapa mwaka huu kunanifanya nikate tamaa kuandika posti 🫠 lakini bado ninajaribu. Je, ngeli ambayo unaipenda zaidi ni gani? Mimi ninaipenda ngeli ya I-ZI

mumbi (@mumbipoetry) 's Twitter Profile Photo

nomino 'roho' iko kwenye ngeli gani? ninafikiri U-U lakini u-u ni ya nomino zisizohesabika zinazoanza na u- ama w-, kwa hivyo labda roho iko ngeli ya I-I? Nitashukuru usaidizi 😊