Mogela 🕊️ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile
Mogela 🕊️

@mogelamsonga

Sijasoma | @Arsenal Dark arts ⚽️ “Am praying for Mikel Arteta to succeed at Arsenal by WINNING 🏆 | 🌦️☀️❄️🎶 Wherever the weather the street is our home 🎶

ID: 1048196130427867136

calendar_today05-10-2018 13:00:06

34,34K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mogela 🕊️ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile Photo

_*Kuna wachawi humu wanatamani kusema Everton mbovu! Ila kila wakikumbuka wao waliliwa sebleni kwao Tena wakiwa 10 uwanjani,, waaishia kusonya tu*_

Napenda kukosoa pindi team imeshinda Saliba amesababisha foul ambayo Palace wakachomoa ikawa 1-1 ila Kepa akasawazisha makosa ya Saliba Hii ndio inaitwa TEAM WORK

Napenda kukosoa pindi team imeshinda 

Saliba amesababisha foul ambayo Palace wakachomoa ikawa 1-1 ila Kepa akasawazisha makosa ya Saliba 

Hii ndio inaitwa TEAM WORK
Mogela 🕊️ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile Photo

Ukicheza na Arsenal wasipo kufunga basi watakuchanganya watakuzongazonga tu mpaka utazidisha chenji na ukizidisha chenji hua hawanaga muda wakukurudishia

Tuma kwenye namba hii jina litasoma “Kepa Arrizabalaga Revuelta” 🇪🇸 kama kwenye lipa namba itasoma “Arsenal Minuso”