millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID: 132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

147,147K Tweet

2,9M Takipçi

488 Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Iringa Ritta Kabati amependekeza kuondolewa uume kwa Wanaume wanaotiwa hatiani kwa kosa la ubakaji ili kudhibiti vitendo hivyo baada ya hivi karibuni kuibuka na kukithiri Kwa vitendo hivyo Nchini. Kabati amependekeza hilo Bungeni Jijini Dodoma

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Polisi Mkoani Kigoma wamemkamata Ramadhani Shaban (21) maarufu Kocha Mkazi wa Buronge Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwamba ametekwa wakati alijiteka yeye mwenyewe kwa msaada wa Rafiki zake ili kuwezesha Wazazi wake kutoa fedha kwa Watekaji feki

Dhamira yetu ni kuhakikisha unapata chanzo endelevu cha umeme. Pata taa yako ya Sunshine Solar katika vituo vya TotalEnergies East Oysterbay, Dar Petrol, Bagamoyo Road (Morocco), Kariakoo, Uhuru, Samora,Msimbazi na South side(Mbagala).

Chama cha ACT Wazalendo kimemkabidhi gari aina ya Prado Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho, Juma Duni Haji ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Sera ya Chama hicho ya kuwaenzi Viongozi Wastaafu. Mbali na gari hilo Babu Duni amezawadiwa pia zawadi mbalimbali na Viongozi wa Kitaifa,

Chama cha ACT Wazalendo kimemkabidhi gari aina ya Prado Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho, Juma Duni Haji ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Sera ya Chama hicho ya kuwaenzi Viongozi Wastaafu. 

Mbali na gari hilo Babu Duni amezawadiwa pia zawadi mbalimbali na Viongozi wa Kitaifa,
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi linawashikilia Mtila Ausi maarufu Shehe Mtila (Mganga wa kienyeji), Omary Abdallah na Amini Sanga kufuatia vifo vya Wafanyabiashara wawili Mkoani Ruvuma ambao ni Raymond Hyera na Riziki Mohamed waliofika kwa Mganga huyo ili kupata dawa za kuwawezesha biashara zao

Kamilisha mishe zako kwa kujiamini ukitumia kilainishi cha Quartz chenye ufanisi wa hali ya juu na kinachotunza injini ya gari lako. @totalenergies_tz

#PICHA: Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China leo September 05,

Tumia fursa ya kushauriana bila malipo na Wataalamu wa tiba ya ndani kuanzia tarehe 2 hadi 7 Septemba 2024, panga appointment yako sasa na upate huduma ya hali ya juu bila gharama yoyote! 0695 11 22 33 !!

Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob pamoja na Wafuasi wake leo September 05,2024 wamefanya maandamano ya kumsindikiza Boniface kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Maandamano hayo yamefanyika kuanzia Manzese kuelekea Kinondoni ilipo ofisi ya Kanda

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Wenseslausi Ulomy (56) Mkazi wa kijiji cha Kifuni Kata ya Kibosho Magharibi Mkoani Kilimanajro amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia shuka kwa madai kuwa alipata aibu baada ya kumbaka Mjukuu wake mwenye umri wa miaka tisa na kumpa Tsh.400 ili asiseme popote kuhusu kitendo

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#PICHA: Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha

#VIDEO Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeahirisha kesi namba 23627 ya mwaka 2024 ya kubaka kwa kundi inayomkabiri Fatmah Kigondo ‘Afande’ baada ya Hakimu Francis Kishenyi kubadilishiwa kituo cha kazi. Shauri hilo lililofungulia na wakili Paul Kisabo lilianza kusikilizwa Agosti

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

"Kazi hii ni nzito si nyepesi kwa umati huu na support hii tafsiri yake mmenitanguliza mbele kwenye maandamano na mmenitanguliza mbele kwenye mapambano, kwenye kazi mmenipeleka mbele nikashtakiwe kwa kazi hii ntaenda Mahabusu kwa kazi hii, nitapelekwa Mahakamani, kazi hii

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta kwa matumizi mbalimbali kama vile dawa na manukato, kilichopo Cileungsi, Jakarta, Indonesia.