James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile
James F. Mbatia

@mbatiajf

Husband, Father | Former Member of Parliament | Former TCD Chairperson 🇹🇿

ID: 1483825678365646850

calendar_today19-01-2022 15:36:41

35 Tweet

1,1K Takipçi

17 Takip Edilen

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Uchaguzi wa Kenya Leo, Uwe mojawapo wa nyota ya Mabadiliko chanya ya kustawisha Demokrasia Duniani. Nawatakia kila la Heri Wakenya.

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mch. Dkt. Eliona Kimaro, kwa maarifa aliyonishirikisha na hasa kupita kitabu chake cha “KUJITUNZA NAFSI”. Asante sana Baba Mchungaji.

Namshukuru Mch. Dkt. Eliona Kimaro, kwa maarifa aliyonishirikisha na hasa kupita kitabu chake cha “KUJITUNZA NAFSI”. Asante sana Baba Mchungaji.
James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

“Maswali yenu kwa Mh Mbatia | Katiba Mpya ni Sasa” Sauti Ya Watanzania. Today, 9 Oct at 7:30 PM EAT in Clubhouse! clubhouse.com/event/mgErB91d…

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Is the issue of precision air-Incapacity of crisis management of lack of technology, man power or pure negligence-Taifa tujitafakari!

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Kuzorota kwa uokozi kwenye ajali ya Precision Air , sio suala la ‘Kakitengo’ kadogo cha Maafa! Ni suala la Uzembe wa Serikali kwa mapana yake. Yuko wapi Wakala wa Usimamizi wa Majanga aliyeundwa na Sheria na. 7 ya 2015?

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Hongera Padre Dkt. Charles Kitima kwa kutushirikisha Furaha yako ya kusherekea Jubilei ya Fedha - Miaka 25 ya Upadri. 'Ni Baraka kwa Ndugu kukaa pamoja kwa Umoja'

Hongera Padre Dkt. Charles Kitima kwa kutushirikisha Furaha yako ya kusherekea Jubilei ya Fedha - Miaka 25 ya Upadri.
'Ni Baraka kwa Ndugu kukaa pamoja kwa Umoja'
James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Papa Benedict XV1 alifanya kazi kubwa ya kuikumbusha dunia kwamba Dini, Sayansi na Siasa ni kitu kimoja: HAVITENGANIKI! ‘Mwanasayansi wa kweli hawezi kuupinga Ukristu na hawezi kuepuka Siasa’. Pumzika kwa Amani Papa Benedict XV1.

James F. Mbatia (@mbatiajf) 's Twitter Profile Photo

Kuna msemo katika taaluma ya majanga ambao upo pia katika sayansi ya leo na hekima ya wahenga, ya kwamba nguvu ya msuguano kati ya wanandugu ikitumika vizuri huweza kukuza Utu wao na kuimarisha Udugu. Sisi sote ni ndugu, watoto wa Mama Tanzania.

Kuna msemo katika  taaluma ya majanga ambao upo pia katika sayansi ya leo na hekima ya wahenga, ya kwamba nguvu ya msuguano kati ya wanandugu ikitumika vizuri huweza kukuza Utu wao na kuimarisha Udugu. 
Sisi sote ni ndugu, watoto wa Mama Tanzania.