Master Mark ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mastermark45) 's Twitter Profile
Master Mark ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@mastermark45

Pricing determines Quality | Hustler | Social Media Marketer

ID: 1430215249312067585

calendar_today24-08-2021 17:07:56

17,17K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Tanzania has retained its B+ credit rating with a stable outlook, a signal of steady economic growth, controlled debt levels and improving fiscal management, according to Fitch Ratings.

Mchanganuo wa Hati 1,339 za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali 2024/25; ๐Ÿ”ต Hati zinazoridhisha: 1,326 ๐Ÿ”ต Hati zenye shaka: 10 ๐Ÿ”ต Hati mbaya: 1 ๐Ÿ”ต CAG ameshindwa kutoa maoni kwa taasisi 2

Mchanganuo wa Hati 1,339 za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali 2024/25;

๐Ÿ”ต Hati zinazoridhisha: 1,326

๐Ÿ”ต Hati zenye shaka: 10

๐Ÿ”ต Hati mbaya: 1

๐Ÿ”ต CAG ameshindwa kutoa maoni kwa taasisi 2
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

"Umma wa Watanzania una haki ya kufahamu kuhusu matumizi ya fedha za serikali katika manunuzi, kwa sababu fedha hizo ni kodi zao, na serikali ina wajibu wa kuwapa taarifa ya matumizi yanayofanyika."- Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Master Mark ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mastermark45) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi umekamilika wa Kituo cha Kupoza Umeme pamoja na njia za kusambaza umeme katika Wilaya ya Kilombero na kuondoa changamoto ya kukatika kwa umeme.

๐Ÿ“Vunjo, Kilimanjaro. Miradi 5 ya umwagiliaji inatekelezwa ikihusisha mradi wa ujenzi wa Skimu ya Mawala wenye ukubwa wa hekta 2,500 unaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 4.1.

๐Ÿ“Vunjo, Kilimanjaro.

Miradi 5 ya umwagiliaji inatekelezwa ikihusisha mradi wa ujenzi wa Skimu ya Mawala wenye ukubwa wa hekta 2,500 unaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 4.1.
Master Mark ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mastermark45) 's Twitter Profile Photo

Katika utekelezaji wa mkakati wa uanzishaji wa Gridi ya Taifa ya Maji ya kusambaza maji kutoka Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa miradi 10 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.58 inatekelezwa.