
MAKUNGANYA
@makunganya01
ID: 1897899854954733568
07-03-2025 06:40:06
1,1K Tweet
497 Takipçi
159 Takip Edilen

















Tunashukuru kwa msimamo wa Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kumtetea Mpina na kuunganisha vijana kwa ndoto ya maendeleo ya kweli. @ACTWazalendo ni chama kinachotoa dira ya kijamii na kiuchumi kwa vizazi vijavyo. #OktobaSamiaChini #MpinaWaVijana

ACT Wazalendo ipo salama mikononi mwa Katibu Mkuu kijana Ado Shaibu, na taifa linapewa matumaini mapya kupitia Rais kijana Mpina. Huu ni ushahidi wa imani kwa vijana na uwezo wao wa kuleta mabadiliko. #MpinaWaVijana
