Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile
Maisha Magic Bongo

@maishamagictz

Maisha Magic Bongo ni chaneli ya burudani kwa Watanzania wote kupitia DStv chaneli 160!

ID: 2644298832

linkhttp://maishamagicbongo.tv calendar_today14-07-2014 07:57:12

6,6K Tweet

6,6K Takipçi

387 Takip Edilen

Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho... Safari yetu ya #DivasAndHustlas inafikia tamati Alhamisi hii! 🤠Asanteni kwa kuwa nasi msimu huu. Tukutane kwenye fainali Kesho saa 1 Usiku! ✨✨✨ #maishamagicbongo #DStv160 #mmbdivasandhustlas

Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho... Safari yetu ya #DivasAndHustlas inafikia tamati Alhamisi hii! 🤠Asanteni kwa kuwa nasi msimu huu. Tukutane kwenye fainali Kesho saa 1 Usiku! ✨✨✨ 

#maishamagicbongo #DStv160 #mmbdivasandhustlas
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Vipi, Wiki yako ilikuwaje? Je, ulipata muda wa kufurahia burudani zetu? Tuambie! #huba #mmbhuba #maishamagicbongo #dstv160 |bit.ly/4iaOaPl

Vipi, Wiki yako ilikuwaje? Je, ulipata muda wa kufurahia burudani zetu? Tuambie! #huba #mmbhuba #maishamagicbongo #dstv160 |bit.ly/4iaOaPl
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Huba, Huba...Mwanzoni uliipendea nini?✨✨✨ Ahsante @showmaxkenya kwa kukupeperusha tamthilia zetu🇹🇿🇹🇿 #mmbhuba ipo hewani saa 3 usiku ndani ya #maishamagicbongo #Dstv160 | bit.ly/4kVyQIn

Kwanini tamthilia za kituruki zimekubalika sana in Tanzania? 📽🎞 Soma zaidi kwenye makala yetu bit.ly/4kYhSsK #DStvTanzania #MaishaMagicBongo

Africamagictv (@africamagictv) 's Twitter Profile Photo

Want to see your favourite nominee take home an #AMVCA? 🏆 Make it happen; vote now 👉 bit.ly/4coYDVy You have 100 votes on the website and 100 on mobile. Voting closes on 4 May. #AMVCA11

Want to see your favourite nominee take home an #AMVCA? 🏆
Make it happen; vote now 👉 bit.ly/4coYDVy
You have 100 votes on the website and 100 on mobile.
Voting closes on 4 May.
#AMVCA11
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wamepagwa! The Makeover yaja kwa kishindo maisha Magic Bongo. Soma zaidi kuhusu show ya Mashindano ya MakeUp Artist inayosubiriwa kwa hamu. #TheMakeOverMMB #MaishaMagicBongo bit.ly/428dtMv

Mashabiki wamepagwa! The Makeover yaja kwa kishindo maisha Magic Bongo. Soma zaidi kuhusu show ya Mashindano ya MakeUp Artist inayosubiriwa kwa hamu. #TheMakeOverMMB #MaishaMagicBongo 

bit.ly/428dtMv
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Umeshawahi kulizwa hivi na mapenzi? #HubaTamu lazima likutoe machozi hata ya furaha #MaishaMagicBongo #HubaSeries #WafalmeWaLoko #

Umeshawahi kulizwa hivi na mapenzi? #HubaTamu lazima likutoe machozi hata ya furaha #MaishaMagicBongo #HubaSeries #WafalmeWaLoko #
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mwanzo lisilo na mwisho, Msimu wa kwanza wa Tamthilia ya Gharika umekwisha. Soma hapa makala yetu kuhusu tamthilia hii ya kusimumua bit.ly/42tTKpw

Leo tunakwenda kutamatisha tamthilia ya Yolanda ndani ya Maisha Magic Bongo! Usikubali kupitwa ni saa 1 kamili usiku. #MaishaMagicBongo #YolandaSeasonFinale #DstvTanzania

Wakati unasubiri kwa hamu kuanza kwa kabumbu la brush na poda, Hawa hapa majaji wetu watakao simamia mtanange huo. Soma zaidi kwenye makala yetu bit.ly/4jr6ww4

MUDA MPYA! My Name is Farah sasa kurushwa kuanzia Jumatatu hadi Alhamis saa 1:00 usiku! Usikose kufuatilia tamthilia hii kwenye maisha Magic Bongo Ch 160 #InabambaZaidi

Ratiba ya tamthilia zako zimebadilika - sasa zina muda mpya ila msisimuko ni uleule! Swipe kuona kila show iko lini. #MaishaMagicBongo #TXUpdate

Ratiba ya tamthilia zako zimebadilika - sasa zina muda mpya ila msisimuko ni uleule! Swipe kuona kila show iko lini. 

#MaishaMagicBongo #TXUpdate
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

⏰ Siku 2 Tu! ⏰ Drama, Mapenzi, na vituko- #JIVU inakuja kwa nguvu ndani ya Maisha Magic Bongo! Usikose ni Tarehe 24 Aprili. #JIVU I Premiere Soon I Maisha Magic Bongo

⏰ Siku 2 Tu! ⏰ 

Drama, Mapenzi, na vituko- #JIVU inakuja kwa nguvu ndani ya Maisha Magic Bongo! Usikose ni Tarehe 24 Aprili. 

#JIVU I Premiere Soon I Maisha Magic Bongo
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Siku ya Muungano! Tuenzi amani, mshikamano na upendo vilivyojengwa tangu 1964. #SikuyaMuungano #Muungano1964 #UmojaNaAmani #TanganyikaNaZanzibar

Heri ya Siku ya Muungano! Tuenzi amani, mshikamano na upendo vilivyojengwa tangu 1964. 

#SikuyaMuungano #Muungano1964 #UmojaNaAmani #TanganyikaNaZanzibar
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Wake wa Nguzu! Warembo, wapambanaji na wenye mipango! Kila mmoja ana nafasi yake, nguvu yake na drama zake. Ni mke gani wa Nguzu ndiye kipenzi chako? Swipe unaangalie uzuri na moto wa familia ya kifalme ya Mpali!

Wake wa Nguzu! Warembo, wapambanaji na wenye mipango! Kila mmoja ana nafasi yake, nguvu yake na drama zake. 
Ni mke gani wa Nguzu ndiye kipenzi chako? Swipe unaangalie uzuri na moto wa familia ya kifalme ya Mpali!
Maisha Magic Bongo (@maishamagictz) 's Twitter Profile Photo

Ni jumatatu ya HUBA! Kifo cha Huba kimesabisha Ray kuwa na harakati nyingi za kutaka kujua ukweli. Unamuamini nani kati ya hawa? Usikose mwendelezo wa Huba ndani ya MaishaMagicBongo leo hadi Jumatano saa 3:00 Usiku.

Ni jumatatu ya HUBA! 

Kifo cha Huba kimesabisha Ray kuwa na harakati nyingi za kutaka kujua ukweli. Unamuamini nani kati ya hawa? Usikose mwendelezo wa Huba ndani ya MaishaMagicBongo leo hadi Jumatano saa 3:00 Usiku.