KHANIFA ❣️ (@kabosolo2024) 's Twitter Profile
KHANIFA ❣️

@kabosolo2024

❤️❣️

ID: 1778715311774068736

calendar_today12-04-2024 09:22:53

255 Tweet

409 Takipçi

75 Takip Edilen

Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬 (@nchojiitz) 's Twitter Profile Photo

❤️🌹❤️ Mlishe mbwa kwa Siku tatu Atakukumbuka kwa Miaka Mitatu, Mlishe Mwanadamu kwa Miaka mitatu Atakusahau ndani ya Siku Tatu😏❤️🌹

❤️🌹❤️
Mlishe mbwa kwa Siku tatu Atakukumbuka kwa Miaka Mitatu, Mlishe Mwanadamu kwa Miaka mitatu Atakusahau ndani ya Siku Tatu😏❤️🌹
Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

Good morning wapendwa 🌞 SHUKA BOX😋, HAZICHUJI/ KUTOA VIPELE📌 SHUKA 2, FORONYA 4 TSH 30,000 SIZE 7X8 0755693113 📍DAR, MIKOANI NATUMA

Good morning wapendwa 🌞 

SHUKA BOX😋, HAZICHUJI/ KUTOA VIPELE📌

SHUKA 2, FORONYA 4
TSH 30,000

SIZE 7X8 

0755693113

📍DAR, MIKOANI NATUMA
Dr. Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Mi sina ata connection za kazi but wee ingia hapo Google search (jobs.bg) utaona Lugha ya Bulgaria & English chagua English fungua hapo uchague kazi unayoweza Ni bure hulipiiiiii kitu jaza omba kazi mwenyewe 🫵andaa CV nzuri ya Kimataifa Ni Hivyo Tu 🤝

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na amani mkuu, usafiri upo mkuu kuna basi linaitwa FRIENDS linatoka Dar hadi Kampala. Ofisi zao zipo magomeni mwembe chai pale.