JUSTIN DEE (@justinkr16) 's Twitter Profile
JUSTIN DEE

@justinkr16

Simba, Barce&Tot hum

ID: 1401496740742770697

calendar_today06-06-2021 11:11:08

2,2K Tweet

467 Takipçi

667 Takip Edilen

Komu Printing (@elparton112) 's Twitter Profile Photo

You see, kabla ya hapo rapper hao wote wanaotokea Mwanza walikuwa washkaji, lakini shetani alipita kati yao. "Mahojiano ya Fid Q Times FM kuhusu Bifu hili"

Komu Printing (@elparton112) 's Twitter Profile Photo

Fid Q aliseama kipind wanafanya chagua moja Rado alichelewa studio, Ila hapa Rado anasema yeye hakupewa taarifa kama Ngoma inarudiwa Bongo record, Anadai alikutana tu na Black Rhino anaenda kurecord kwa majani, Msikilize 👇

Komu Printing (@elparton112) 's Twitter Profile Photo

Baada ya hapo Rado alipotea, anadai alienda nje ya mfumo wa maisha baada ya kufiwa na MPENZI wake, So alishindwa kurud kwenye hali ya kawaida baada ya MPENZI wake huyo kufariki Msikilize hapa 👇

Malulujr (@nyandamalulu) 's Twitter Profile Photo

Nawasogezea nyingine tena ya huyu Mtangazaj,anaitwa Mswaty, Yupo Afya radio,inashika kanda ya ziwa tu, Kipindi ni Chimbo la vibe akiwa na Kabago na Clinton, Msikilize hapo akielezea kitu kuhusu Hardmad 👇

Malulujr (@nyandamalulu) 's Twitter Profile Photo

2010 baada ya kupotea kabisa, Marehemu Ruge alimrudisha kwenye Gem, Alisimamia project yake mpya na ngoma yake ya kwanza ikatoka akiwa na Linex, Akipendacho binti,ngoma ilienda sana, Baada ya maokoto naona jamaa alijisahau tena,akapotea had leo Mwisho. Akipendacho binti 👇